Kiki zafanya Kariakoo kuwa kero

Kiki zafanya Kariakoo kuwa kero

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,276
Reaction score
14,319
Wakati wengine wanashughulikia majiji yao kimya kimya bila kuwa na kiki sasa ni dhahiri majiji kama Dsm ni kero yani barabara zimefungwa na bidha yani afadhali hata enzi ya Mzee Makamba...
Yani uchafu biashara zimefunga barabara yani ni shida.....

Haya na majiji mengine igeni kwa Mkuu wa mkoa Dar....
Barabara zote wapewe machinga kama Dar.
Akuna kufukuza machinga...
 
Sioni kero yoyote wacheni watu wachape kazi.mikono iende kinywani fitna zingine hazina maana yoyote.
 
Back
Top Bottom