Mbasembase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,057
- 4,608
Kumbi gani ya uchochoroni diamond amefanya tuanzie hapo kwanza?kabla atujaenda Kwenye hoja yako
Mkuu mimi naongelea mambo ya Ulaya. Sasa wewe niambie ukumbi wa maana ambao Diamond ama Sugu bora Mr Nice mwaka 2005 alipelekwa kwenye ukumbi wa maana Milton Keynes ambako hata kina Neyo waliwahi kupiga hata hivyo hamuwekwa kwenye ukumbi wenyewe bali sebure ya ukumbi.Kumbi gani ya uchochoroni diamond amefanya tuanzie hapo kwanza?kabla atujaenda Kwenye hoja yako
Twanga pepeta walienda England wakapiga bar moja inaitwa Element Milton Keynes walipokuja bongo wakadai walikua London. Mr Ebo alipelekwa Frames Milton Keynes hiyo bar ni sawa na Delux Magomeni. Ni uongo tu wa kujisifu. Halafu visa zao siyo za biashara ndiyo maana wanaishiaga uchochoroni na BBC swahili. Usidanganye wstu tunaojua mpaka hizo kumbi.We kila kitu ni kupinga pinga tu, Diamond anapiga uchochorini acha ubishi
Element MK, Maharaja alipopiga Matonya. Wewe nieleze ukumbi wa maana unaoujua wewe uliotumiwa na msanii wa kibongo. Ma promoter wao hawana uwezo wa kukodi hizo kumbi. Waulize kina Madjojo na Domokaya walishindwa kuwaweka mpaka hotelini. Wakaishia kuwekwa nyumbani kwa watu na kulipwa £400 show zote. Unadhani Juma Nature mjinga kukataa show za Ulaya?Kumbi gani ya uchochoroni diamond amefanya tuanzie hapo kwanza?kabla atujaenda Kwenye hoja yako
Diamond 2019 kapita show Germany ,Venue Columbia Halle,Capacity 3500 tickets sold out.Ukumbi huu watu walio wahi kupiga Tyga 2019,Boyz II men 2012,J Cole 2011.Mkuu mimi naongelea mambo ya Ulaya. Sasa wewe niambie ukumbi wa maana ambao Diamond ama Sugu bora Mr Nice mwaka 2005 alipelekwa kwenye ukumbi wa maana Milton Keynes ambako hata kina Neyo waliwahi kupiga hata hivyo hamuwekwa kwenye ukumbi wenyewe bali sebure ya ukumbi.
Kumbi gani ya uchochoroni diamond amefanya tuanzie hapo kwanza?kabla atujaenda Kwenye hoja yako
hawezi kukutajia bali anaenda ku google. kisha atakuja kusema wewe ni haterMkuu mimi naongelea mambo ya Ulaya. Sasa wewe niambie ukumbi wa maana ambao Diamond ama Sugu bora Mr Nice mwaka 2005 alipelekwa kwenye ukumbi wa maana Milton Keynes ambako hata kina Neyo waliwahi kupiga hata hivyo hamuwekwa kwenye ukumbi wenyewe bali sebure ya ukumbi.
London pub karibu na choo cha club ya Chelsea.Kumbi gani ya uchochoroni Diamond amefanya tuanzie hapo kwanza?kabla atujaenda Kwenye hoja yako
Kataja ujerumani kaweka video ya J Colehawezi kukutajia bali anaenda ku google. kisha atakuja kusema wewe ni hater
Tatizo hujui hata ulicho maanisha,Germany sio ulaya.Sijaishi Ujeruman hivyo sijui kama huo ukumbi unafanana na 20000 capacity ya O2? Nimezungumzia UK. Sijamsikia Usain Bolt akikataa kukimbia Germany. Nimezeka kodi ya UK ni kizungumkuti. Sijasikia msanii yeyote akipiga kwenye ukumbi wa maana
Soma hapo mpaka ukifika kwa 2face. Diamond kajaza wabongo zaidi ya 1000 kesho yake Mnigeria kajaza full house. Sasa narudi kusema wasanii wetu wanajaza mashabiki kutoka TZ . Imagine kama Diamond ambaye ni King kwasasa Eadt Africa kashindwa kujaza kaukumbi ka 3500 seats huyu Mmakonde huo ubavu wa kujaza 20000 ukumbi maarufu ujulikanao dunia nzima. Huo wa Berlin sijawahi kuusikia maana Ujerumani mpaka leo uliponiambia. Lakini O2 unajulikana duniani kote kwasababu ya events zake.Tatizo hujui hata ulicho maanisha,Germany sio ulaya.
"Mkuu mimi naongelea mambo ya Ulaya. Sasa wewe niambie ukumbi wa maana ambao Diamond ama Sugu bora Mr Nice mwaka 2005 alipelekwa kwenye ukumbi wa maana Milton Keynes ambako hata kina Neyo waliwahi kupiga hata hivyo hamuwekwa kwenye ukumbi wenyewe bali sebure ya ukumbi."
Nakuunga mkono kwa hilo lakini kwa management yake huyu konde ambaye anadaiwa na Diamond kufanya arrangement za O2. Aanzie kumbi ndogo. Tatizo lake ni moja sifa zitamponza. Ni kijana mzuri sana nampenda kwa jinsi alivyojituma na kufika hapo alipo.Mwacheni jeshi apambane huo ndo uanaume akianguka atajifunza kitu na kusonga mbele.
Life is all about hustling hard!
Sent using Jamii Forums mobile app