masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,688
- 14,700
Mkuu kama watoka bush, jifunze kwa kufuatilia vipindi vya Q&A dunia nzima.Wewe ndo una tatizo la uelewa, utajibuje ndiyo hau hapana kwenye swali linalo itaji explanation.
Mungu yupo juu(facing the skies) hayupo chini wala upande fulani wa dunia (not west east north or south)!!!! discuss.Sisi tunamuabudu mungu tu,kwani nyinyi yule wenu munamuabudu?
Muda huu maalim seif yupo kikaangoni BBC chini ya salim kikeke,.Amembana kwa nini hakuhamasisha wafuasi wake kupiga kura kwa maranyingine ikiwa yeye alishashinda kwenye uchaguzi wa awali.Kwa mara nyingine tena maalim anachemka kuhusu kususia uchaguzi.Kazi kwenu mnao muabudu.Dk 3 za maswali toka kwa Kikeke maalim jasho limemtoka.
How do you know kwamba Seif kaitwa BBC. What if Seif aliomba hiyo nafasi ya mahojiano ili aendeleze publicity yake. Alisha anza na VOA, sasa yuko BBC. By the way, anaye uliza swali ni mwandishi wa habari na anategemea ajibiwe kulingana na swali. Siyo issue ya ubabe na hotuba za kisiasa.Slim Kikeke AMESHINDWA KUONYESHA WELEDI WAKE. Yeye ndio kamwita Maalim Seif studio halafu badala ya kumpa nafasi ajibu yeye anampigia kelele. Hii ndio extremely unprofessional episode toka BBC SWAHILI niliyowahi kuona. Ni kama Sam Mahela si alipomhoji Mch. Peter Msigwa. Hua wanaogopa kwamba baadhi ya majibu yanayotolewa YATAWAKERA WATAWALA FULANI.
afadhali seif anafka mpaka huko ila kuna viumbe vingine havijafika na wala havitafika maana wanakuona kama jahanamLeo wakati akimhoji Maalimu Seif juu ya uchaguzi wa Zanzibar, Salim Kikeke mtangazaji wa BBC, aliishia kupigishana makelele na Maalimu Seif kwani kila mmoja alikuwa anaongea kwa sauti.
Huu ndio utaratibu wa kuhoji watu Salim?
Hapo pamenifanya nisiitafakari post yakoMuda huu maalim seif yupo kikaangoni BBC chini ya salim kikeke,.Amembana kwa nini hakuhamasisha wafuasi wake kupiga kura kwa maranyingine ikiwa yeye alishashinda kwenye uchaguzi wa awali.Kwa mara nyingine tena maalim anachemka kuhusu kususia uchaguzi.Kazi kwenu mnao muabudu.Dk 3 za maswali toka kwa Kikeke maalim jasho limemtoka.
Kwa asie na akili ndio atasema maalimu seif amechemka,lkn nilichokiona na kusikia ni kikeke kumuhoji Maalimu na kabla hajajibu yeye kikeke ana rudia swali hilolo tena,na huyo mwenye kusema eti maalimu alichemka sijui ni wapi,na wakati jibu alilotoa ndio jibu analotoa kila wakati aulizwapo swaki hilo,Muda huu maalim seif yupo kikaangoni BBC chini ya salim kikeke,.Amembana kwa nini hakuhamasisha wafuasi wake kupiga kura kwa maranyingine ikiwa yeye alishashinda kwenye uchaguzi wa awali.Kwa mara nyingine tena maalim anachemka kuhusu kususia uchaguzi.Kazi kwenu mnao muabudu.Dk 3 za maswali toka kwa Kikeke maalim jasho limemtoka.
Unapoulza swali toa na muda wa kujibiwa swali, sio unauliza swal halafu unauliza swali lingine wakati mtu anajibu swali
Hehehehehhe maigizo dot comUtafiti wa Twaweza unasema wananchi wengi wa Zanzibar wanaikubali Serikali iliopo madarakani....
Salim Kikeke AMESHINDWA KUONYESHA WELEDI WAKE. Yeye ndio kamwita Maalim Seif studio halafu badala ya kumpa nafasi ajibu yeye anampigia kelele. Hii ndio extremely unprofessional episode toka BBC SWAHILI niliyowahi kuona. Ni kama Sam Mahela si alipomhoji Mch. Peter Msigwa. Hua wanaogopa kwamba baadhi ya majibu yanayotolewa YATAWAKERA WATAWALA FULANI.
kikeke hana lolote ni uchwara tu .nini maana ya mahojiano
Kikeke kaonyesha ujinga wa hali ya juu sana nafikri hastahili kuwepo kwenye chombo kama hichoSalim anataka maalim seif amjibu anavyotaka, ni aibu mtangazaji kutaka kumpangia mtu cha kujibu.