Huyo demu kazi ya ndole anaiweza, niulize kwanini?Akina kushangaa kitochi hamna
Nilikuwa nafanya field....!!!qui qui quiiiii
mshana jr Kiongozi nitakufunga, unafahamu ya kuwa ushahidi nnao ingawa wewe uliyasema haya meneno mwaka jana.
Usinifanye mtoto mdogo, hapa nishapata jibu ya kuwa wewe ni mwanachama mzuri katika mambo yetu yaleee.
Na ntakapokufunga wewe na ushahidi ninao ni pale uliposema maneno haya kwenye mada fulani MMU mwaka jana "HARUFU mimi sinunui K"
Bisha kama nnayosema ni ya uwongo
Ha ....Loh...! Hiyo seva yako hiyo ni kweli kabisa kaka mimi huwa sinunui Rambo napewaga ofa tu
Wenzio tulikuwa tunachonganishwa mpaka na wamama(wasichana wa enzi zao).HARUFU hahahahaaaa umenikumbuka ndondi za utotoni wallah
Wenzio tulikuwa tunachonganishwa mpaka na wamama(wasichana wa enzi zao).
Ngumi mwanzo mwisho.
Wale wamama hawafai, unajua walikuwa na tabia ya kuwachonganisha watoto wadogo mbaya zaidi wazazi wao wakiwa hawapo