Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,575
Wewe kama huamini usiwabagaze wenzako .Dini ni Ukiristo madhehebu yao ndo Anglicani katoliki nk.......hao wote imani yao ni moja wana chukua Yesu kua Mungu na Mary kua Mama wa Mungu very ridiculous....
ridiculous kivip Mkuu weka fact sanjari na ukweli faafu unaojua wewe kuhusu imani yao kupotokaDini ni Ukiristo madhehebu yao ndo Anglicani katoliki nk.......hao wote imani yao ni moja wana chukua Yesu kua Mungu na Mary kua Mama wa Mungu very ridiculous....
Jiulize,wakati hiyo katiba inaandikwa,kiwango cha kujua kiswahili na misamiati yake kilikuwa ni cha aina gani?Katiba haitambui dhehebu, inatambua dini. Hayo madhehebu yote ni dini.
Kikubwa tu. Mwaka 77 kiswahili chetu kilikuwa kimekomaa vyemaJiulize,wakati hiyo katiba inaandikwa,kiwango cha kujua kiswahili na misamiati yake kilikuwa ni cha aina gani?
Weka kifungu ulicho nukuuNakumbuka niliona kwenye katiba kuwa kila dhehebu linasajiliwa kama dini. Hivyo basi, hakuna dini ya ukristo ila kuna dini za Aglican, Katoliki, Lutheran, Moravian, nk, nk. Sijajua upande wa Uislamu husajiliwa namna gani. So kisheria nchi yetu ina dini nyingi sana.
Huo ni ukwel unaoujua ww lakn sio kikatiba katiba inachojua hizo n din na si madheheb kama unavyosemaDini ni Ukiristo madhehebu yao ndo Anglicani katoliki nk.......hao wote imani yao ni moja wana chukua Yesu kua Mungu na Mary kua Mama wa Mungu very ridiculous....
Kama mpaka leo kuna watu wazima hawajui kutofautisha:-Kikubwa tu. Mwaka 77 kiswahili chetu kilikuwa kimekomaa vyema
Basi poa.Nakumbuka niliona kwenye katiba kuwa kila dhehebu linasajiliwa kama dini. Hivyo basi, hakuna dini ya ukristo ila kuna dini za Aglican, Katoliki, Lutheran, Moravian, nk, nk. Sijajua upande wa Uislamu husajiliwa namna gani. So kisheria nchi yetu ina dini nyingi sana.
Haya siyo maneno yangu Ni ya Yesu Mwenyewe mkuu....Acha kupotesha watu eti ukristo ni mfumo wa maisha,... haya basi nionyeshe sheria ya miradhi kwenye biblia kama ukristo ni mfumo wamaisha
Jiulize,wakati hiyo katiba inaandikwa,kiwango cha kujua kiswahili na misamiati yake kilikuwa ni cha aina gani?
Minding their business is a full time job.
Sio kweli,catholic ndio wanaoamini Marry kuwa mama ya Mungu,Dini ni Ukiristo madhehebu yao ndo Anglicani katoliki nk.......hao wote imani yao ni moja wana chukua Yesu kua Mungu na Mary kua Mama wa Mungu very ridiculous....
That’s true everyone is busy with his/her own business
Dini ni Ukiristo madhehebu yao ndo Anglicani katoliki nk.......hao wote imani yao ni moja wana chukua Yesu kua Mungu na Mary kua Mama wa Mungu very ridiculous....
Nilidhani haya ni madhehebu ndani ya ukristoAglican, Katoliki, Lutheran, Moravian,