Kikatiba hakuna dini ya kikristo

... wala ukristo hauhitaji kuwa dini maana dini hata za mizimu zipo! Salvation in Jesus Christ the Savior ndio mpango mzima. Na kila goti litapigwa; hakika kila ulimi utakiri Yesu ni BWANA.
 
... wala ukristo hauhitaji kuwa dini maana dini hata za mizimu zipo! Salvation in Jesus Christ the Savior ndio mpango mzima. Na kila goti litapigwa; hakika kila ulimi utakiri Yesu ni BWANA.
Mbona ukristo na hizo dini unazo ziita za mzimu ni yale yale tofauti ni matamushi na utaratibu ila wote hutagemea na kuabudu viumbe vilio pita au kufa
 
Ukristo sio dini. Ni maisha yanayomfanana KRISTO.

YESU ni KRISTO
 
Katiba na Sheria za Kibinadam hazitatui matatizo bali zinazidisha. Hata ziweje.
 
Kwani uisilamu, una madhehebu mengi tu mfano: Budha,shiha,Suni n.k
 
Wala siyo jambo la kushangaza kwa sababu Hata Yesu mwenyewe alisema Hakuja kuanzisha dini

Kwa mujibu wa Biblia ukristo siyo dini...
Ukristo ni Imani inayotupatia Mfumo wa Maisha

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
lolz
 
Acha kupotesha watu eti ukristo ni mfumo wa maisha,... haya basi nionyeshe sheria ya miradhi kwenye biblia kama ukristo ni mfumo wamaisha
 
Una maana gani,au umekuja kuonesha kiwango cha ujinga wako,maajabu unaweza kuta we ni baba wa familia
If not we ni hopeless tu
 
Nimesharipoti hii thread itafutwa punde
 
Niwakumbushe tu judaism,christianity and islam can all be tied to the same individual;
Simply means that Abraham is the common parent to all three(yaani all three are abrahamic religions au Ibrahim ndiye baba wa imani kwa dini zote hizi)
Huwa nashangaa udini ni wa kazi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…