Kikaptula Alichovaa Michelle Obama

Tatizo kwa wabantu asilia, mzee kikinyooka tu ofisini, umbo la mama na watoto linachenji kwa kasi ya puto, mboga zinaanza kurudikwa mifuta (fat every thing!), milo mchanganyiko kila saa, acha mibia ya moto nk. U model kama Mrs O utatoka wapi ????Labda "umiss Bantu!"
 
wacha ajipe raha na athletic figa yake mama wa watu, wacha wenye ma nyamanyama ya uzembe waloe majasho kwa kujifunika funika kwenye joto...

wanawake wangapi wa umri wa miaka 45 wapo fit na young looking kama Mrs Obama?
 
michelle-obama-in-shorts.jpg


michelle-obama-wears-shorts.JPG

Kweli analipa, cheki chuchu ziwa la kushoto! inaelekea hata bra hajatinga!
 
Back
Top Bottom