WANA JF SALAM
Naomba kujua kuhusu kikao kilichoitiswa na raisi ikulu juzi jumatatu kikishirikisha wabunge wa dar na wadau wa maji wamefikia mwafaka gani au ilikuwa ni kauli ya raisi ya kujitoa kwenye kibano cha wananchi?
Mkuu kilicho tokea jumatatu ya tarehe 25/03/2013 ni Jakaya Mrisho Kikwete kuandika historia ya ku-sign mikataba tata kumi na sita kwa mpigo na rais wa China;
"This is possible only in Tanzania"
ni kweli kaka, kwani kwetu hata tume ya kuchunguza kwann panya wanaishi inaweza kuundwa na watu wakalipana posho ya kukaa kitako
siwezi kushangaa kusikia rais naye anakuwa mtu wa kusaini mkataba badala ya makatibu wakuu au waziri wa mambo ya nje
tunasikia ni fadhila kwa china kutomnyonga Riz alipokamatwa na madawa ya kulevya huko china, aliachiwa baada ya jk kukwea pipa na kuahidi kwa maandishi kuwa china itapata vitu vingi vya upendeleo ikianzia kwenye madini, ujenzi wa barabara na uwekezaji kibao, ndiyo hayo
<br />Mkuu kilicho tokea jumatatu ya tarehe 25/03/2013 ni Jakaya Mrisho Kikwete kuandika historia ya ku-sign mikataba tata kumi na sita kwa mpigo na rais wa China; <br />
<br />
"This is possible only in Tanzania"
h[/B][/I][/COLOR]apa ndio ninapoipendea JF... utakutana na watu wa kila aina...........wambea,wazushi, wachochezi, wapumbavu(wajinga walio advance), wanasiasa na wafuasi wao.... halafu woooote wanakuwa CATEGORISED kama GREAT THINKERS... Ona, eti hata huyu nae ni miongoni mwa GREAT THINKERS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kudaadeki hadi aiuze mpaka ikulu ndio mjue mmepata Rais international.Mkuu kilicho tokea jumatatu ya tarehe 25/03/2013 ni Jakaya Mrisho Kikwete kuandika historia ya ku-sign mikataba tata kumi na sita kwa mpigo na rais wa China;
"This is possible only in Tanzania"
ni kweli kaka, kwani kwetu hata tume ya kuchunguza kwann panya wanaishi inaweza kuundwa na watu wakalipana posho ya kukaa kitako
siwezi kushangaa kusikia rais naye anakuwa mtu wa kusaini mkataba badala ya makatibu wakuu au waziri wa mambo ya nje
tunasikia ni fadhila kwa china kutomnyonga Riz alipokamatwa na madawa ya kulevya huko china, aliachiwa baada ya jk kukwea pipa na kuahidi kwa maandishi kuwa china itapata vitu vingi vya upendeleo ikianzia kwenye madini, ujenzi wa barabara na uwekezaji kibao, ndiyo hayo
Hivi alipowaita Mnyika et al waje ikulu 25/3/2012 hakujua kuwa Bwana Xi atakuja Tanzania?
h[/B][/I][/COLOR]apa ndio ninapoipendea JF... utakutana na watu wa kila aina...........wambea,wazushi, wachochezi, wapumbavu(wajinga walio advance), wanasiasa na wafuasi wao.... halafu woooote wanakuwa CATEGORISED kama GREAT THINKERS... Ona, eti hata huyu nae ni miongoni mwa GREAT THINKERS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
<br />h[/B][/I][/COLOR]apa ndio ninapoipendea JF... utakutana na watu wa kila aina...........wambea,wazushi, wachochezi, wapumbavu(wajinga walio advance), wanasiasa na wafuasi wao.... halafu woooote wanakuwa CATEGORISED kama GREAT THINKERS... Ona, eti hata huyu nae ni miongoni mwa GREAT THINKERS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!