Kikao kilichofanyika ikulu

Kikao kilichofanyika ikulu

WANA JF SALAM
Naomba kujua kuhusu kikao kilichoitiswa na raisi ikulu juzi jumatatu kikishirikisha wabunge wa dar na wadau wa maji wamefikia mwafaka gani au ilikuwa ni kauli ya raisi ya kujitoa kwenye kibano cha wananchi?

Ingekuwa vyema kama ungempigia Salva ama ungetuma e-mail kupitia: mawasilianoikulu@yahoo.com
 
Angalia sasa huo usanii kwani Rais hakujua huo ujio wa Rais wa China hadi kuwaita watu ikulu jumatatu?
 
Hata hivyo mkuu hizi habari zipo kitambo nashangaa huyu jamaa kujifanya hazijui,tulitegemea ikulu ikanushe lakini bila hivyo tuna kila sababu ya kuamini kuwa haya mabo ni fadhila
 
obama kaalika marais wanne tu kutoka africa,mkulu siku hizi naona kama amewasusa wa-america vile.
 
Sasa mlitaka siku ile azomewe na wananchi? Wanasiasa ndiyo walivyo porojo nyingi kuwahadaa wananchi halafu utekelezaji zero ni kama Mbowe na alivyotupiga changa la macho kuwa hataki Gari la Kiongozi wa upinzani bungeni maana linaigharimu taifa halafu kimyakimya akalivuta ndani. Chezea wanasiasa weyeeeeee!!!
 
Sasa mlitaka siku ile azomewe na wananchi? Wanasiasa ndiyo walivyo porojo nyingi kuwahadaa wananchi halafu utekelezaji zero ni kama Mbowe na alivyotupiga changa la macho kuwa hataki Gari la Kiongozi wa upinzani bungeni maana linaigharimu taifa halafu kimyakimya akalivuta ndani. Chezea wanasiasa weyeeeeee!!!

naona unatamani kuolewa na mbowe
 
Kikao kilifana sana burudani zote zilikuwepo poleni sana nyie wavivu
 
WANA JF SALAM
Naomba kujua kuhusu kikao kilichoitiswa na raisi ikulu juzi jumatatu kikishirikisha wabunge wa dar na wadau wa maji wamefikia mwafaka gani au ilikuwa ni kauli ya raisi ya kujitoa kwenye kibano cha wananchi?
Mtu wa kuweza kutujuza ni Mhe, Mnyika tu, wengine tunapiga domo.

 
Mkuu kilicho tokea jumatatu ya tarehe 25/03/2013 ni Jakaya Mrisho Kikwete kuandika historia ya ku-sign mikataba tata kumi na sita kwa mpigo na rais wa China;

"This is possible only in Tanzania"

Wachina wanaweza kusaini mikataba mingi hivyo kwa serikali ''corrupt'' tu kama serikali ya CCM (Wang'oa meno, kucha, na wauaji wa wanaharakati na watetezi wa wanyonge)
 
haya yalisemwa hadi kwenye vyombo vya habari mkuu au hukusoma habari hiyo labda tuvilaumu vyombo vya habari vinavyoleta umbeya sio ss tunaoquote

pili kuna mtu jana ametupa dondoo za masharti ya wachina kujenga bandari ya bagamoyo, ulisoma au hukusoma, kama una hakika tupe mikataba hiyo tusome ss wenyewe tuone hayo masharti endapo jamaa aliyosema si ya kweli

tatu epuka matusi mm ni gt hata kama hutaki, ndiyo maana nimetumia neno tumesikia, pia serikali ilishindwa kutoa majibu muafaka kuhusu kashfa ya mtoto wa kigogo kukamatwa na madawa ya kulevya china na serikali kuweka commitment ili kunusuru maisha yake. ni wakati huo huo meli ya kinana iliyobeba meno ya tembo iliripotiwa kukamatwa china, kinana akakiri huoni hizi habari zina mtiririko unaoendana na ukweli kabisa?

nne je hukuona ile picha riz akiwa katikati ya rias wa china na mkewe badala ya wote, mtu wa kawaida unafikiri atatafsiri nn wakati alitajwa bayana kuwa yy ndiye aliyekamatwa na ili kumuokoa commitment zilifanyika kimaandishi

kama kila alilofanya riz/serikali lingewekwa hewan kwa vielelezo nchi ingepasuka vipande vipande hata unyasi huenda usingesalia

chunga comments zako kama ww ni gt toa habari mbadala zilizo sahihi kuhusu hoja iliyochangiwa na mdau kt jukwaa na sio kutumia lugha ya matusi na dharau bila kujibu hoja kwa ushahidi ulio wazi wa kumfanya kila mtu kujua ukweli juu ya jambo husika

msingi wa jukwaa hili ni kuelimishana na kusahihishana pale mtu anapokuwa na habari isiyokamilika
na wewe eti ni great thinker. kweli tuna safari ndefu.
 
Back
Top Bottom