Hata mimi nilihisi hivyo kwamba jamaa ana joke
We utakuwa muathirika wa ubakwaji,bungeni kuna joke?
Hata mimi nilihisi hivyo kwamba jamaa ana joke
Just a jovial mood to easy the tension!.unadhani ni kwanini ?
Ni mkutano wa kumchgua mwizi mkuu na msaidizi wake.Magwiji wa Siasa kutoka CCM watakutana Dodoma Hotel. Unadhani nguri hawa
Membe
Sitta
January
Lowassa
Wassira wana mkakati gani?
Hao wote ni presidential material wa CCM. Nafikiri wameenda kupiga ana-ana-do ili wakubaliane mmoja wao kupeperusha bendera ya chama.
katika hali ya kushtusha viongoz kadhaa wa CCM wanaosemekana kuonesha nia ya kugombea urais wameitwa wote wakutane dodoma hotel. siku na saa zimewekwa kwenye parandesi.