Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 462
- Thread starter
- #21
aminangalo=@Beethoven?
Last edited by a moderator:
katika hali ya kushtusha viongoz kadhaa wa CCM wanaosemekana kuonesha nia ya kugombea urais wameitwa wote wakutane dodoma hotel. siku na saa zimewekwa kwenye parandesi. pengine ni ktk hali ya CCM Kutaka kuleta umoja kati yao na pia kuwakumbusha jinsi gan waenende katika bunge hili la katiba kwa maslah ya CCM. Mengi zaidi tutawajuza. habari ya kuitwa kwao imetangazwa na mwenyekiti wa muda wa bunge pandu kificho alipokuwa akiahirisha bunge jioni hii
Mwaka huu tutaona mengi,Lowassa ciku zinapozid kwenda anawabana wenzake ma------,Lowasaa tunaomba uwache hata wenzako wapumue,kila kitu lowasa,lowassa,chezea masai ww kama ni football lowassa ni messi
we sio mzima, umevurugwa, unaongea habari za Lowasa leo, yulyule fisadi au Lowasa yupi unayemsema.
Tangazo lilikuwa jokes tuu watu mmeingizwa chaka!.Magwiji wa Siasa kutoka CCM watakutana Dodoma Hotel. Unadhani nguri hawa
Membe
Sitta
January
Lowassa
Wassira wana mkakati gani?
Tangazo lilikuwa jokes tuu watu mmeingizwa chaka!.
Pasco
Magwiji wa Siasa kutoka CCM watakutana Dodoma Hotel. Unadhani nguri hawa
Membe
Sitta
January
Lowassa
Wassira wana mkakati gani?
we utakuwa umeandka sms hii ukiwa umepakatwa!!
Tangazo lilikuwa jokes tuu watu mmeingizwa chaka!.
Pasco
Magwiji wa Siasa kutoka CCM watakutana Dodoma Hotel. Unadhani nguri hawa
Membe
Sitta
January
Lowassa
Wassira wana mkakati gani?
Akil yako ni kama mat...ko yako, usalama wa taifa ndo unaua na Rais wako kakaa kimya? Haya kama chadema ndo wanaua kwann? Msiwashike viongoz wa chadema? Ndo maana tunasema rais ni dhaifu sn, mtu anayeua si ashikwe mbona hamuwashik sasa, unakuja hapa kuposha kisa umepewa buku 7 na umeuza utu wako, na bado utamuuza na mama yako!!!!