Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 462
Magwiji wa Siasa kutoka CCM watakutana Dodoma Hotel. Unadhani nguri hawa
Membe
Sitta
January
Lowassa
Wassira wana mkakati gani?
Membe
Sitta
January
Lowassa
Wassira wana mkakati gani?
CCM haitakaa ishindwe TZ CHADEMA kaugomvi kadogo mnafukuza na kuua bhana
Magwiji wa Siasa kutoka CCM watakutana Dodoma Hotel. Unadhani nguri hawa
Membe
Sitta
January
Lowassa
Wassira wana mkakati gani?
Magwiji wa Siasa kutoka CCM watakutana Dodoma Hotel. Unadhani nguri hawa
Membe
Sitta
January
Lowassa
Wassira wana mkakati gani?
Hao wote ni presidential material wa CCM. Nafikiri wameenda kupiga ana-ana-do ili wakubaliane mmoja wao kupeperusha bendera ya chama.
aminangalo fafanua kidogo
Magwiji wa Siasa kutoka CCM watakutana Dodoma Hotel. Unadhani nguri hawa
Membe
Sitta
January
Lowassa
Wassira wana mkakati gani?
HAWA WAKO KUCHAFUA KATIBA NA SIO KINGINE. WANATAKA KUGOMBEA URAISI DEZO. Uraisi dezo maanake ni kuwa, Yule raisi ambaye hashitakiwi wala kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye. Hivyo kifungu hiki cha madaraka ya uraisi kinafanyiwa mbinu za juu na chini ili kisidibetiwe kamwe.Magwiji wa Siasa kutoka CCM watakutana Dodoma Hotel. Unadhani nguri hawa
Membe
Sitta
January
Lowassa
Wassira wana mkakati gani?