Kikao cha watu 88 waliokutana kujadili mrithi wa Ayatollah wauawa wote kwa bomu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,476
Reaction score
53,335
Walikutana kujadili mrithi wa Ayatollah, jengo likashushiwa kitu kizito.....

The IDF targeted a building in which Tehran's 88-member Assembly of Experts was meeting to choose Iran's next supreme leader, Israeli sources told The Jerusalem Post on Tuesday.

Kweli waarabu hamnzo bado wanafanya physical meeting kipindi hiki.aha ah haa
 
Walikutana kujadili mrithi wa Ayatollah, jengo likashushiwa kitu kizito.....

The IDF targeted a building in which Tehran's 88-member Assembly of Experts was meeting to choose Iran's next supreme leader, Israeli sources told The Jerusalem Post on Tuesday.

HIli jambo halifurahishi hata kidogo. Hao waliouwawa wanaziacha familia zao na ukiwa.
Hii vita iishe tu. Maisha ya kila mwanadamu ni ya thamani sana kuliko hizi jeuri wanazooneshana
 
Kheee!!

Yaani bado tu wanakusanyika kwa wingi hivyo sehemu moja?

Akili za hawa watu zikoje lakini?

🤣.
 
HIli jambo halifurahishi hata kidogo. Hao waliouwawa wanaziacha familia zao na ukiwa.
Hii vita iishe tu. Maisha ya kila mwanadamu ni ya thamani sana kuliko hizi jeuri wanazooneshana
Hapana vita iendelee mpaka mbabe apatikane.
Maana hao jamaa Wana jiona wababe.mwenzao alishawaambia mimi Sina silaha za nyuklia ila bado hawaelewi.wakatuma hadi watu wakafanye uchunguzi hawakukuta silaha.bado Wana muandama.wameua viongozi wao wengi tu,mpaka juzi hapo mzee khomenei nae wamemuua vita vinaisha vipi?
Acha viendelee heshima irudi.
Iran apoteze mazima tujue moja.au ashinde asimame zaidi
 
HIli jambo halifurahishi hata kidogo. Hao waliouwawa wanaziacha familia zao na ukiwa.
Hii vita iishe tu. Maisha ya kila mwanadamu ni ya thamani sana kuliko hizi jeuri wanazooneshana

Kwa Iran ni vita vya kawaida, ila kwa Israel ni kujilinda dhidi ya kufutwa kwenye uso wa dunia, angalia makombora ya Iran yanaelekwzwa kupiga popote maana wanaendeshwa na dini.
 
Back
Top Bottom