MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,668
- 42,711
😄😄Aisee!
Mr. Bond wa Tandika maguruweHiki ni kikao kitakachohusisha makundi yote ya wanaume hapa nchini isipokuwa wale walioleft. Hapa nazungumzia wanaume mabahili, wenye madeni madogo na makubwa, wenye michepuko, wenye watoto zaidi ya mmoja na kila mtoto na mama yake, wanaolaumiwa kuwaacha wapenzi wao na kuibuka na vifaa vipya na makundi mengine yote yanayotambulisha wanaume.
Eneo la kikao ilikuwa iwe kwenye hoteli nzuri katikati ya jiji ila kutokana na mchango wa Tsh 2000 kutochangwa angalau na mjumbe mmoja basi kikao kitafanyikia kiwanja cha Chaukucha, Msimbazi bondeni.
Mgeni rasmi atakuwa yule mjumbe aliyetumia akiba yote ya mpenzi wake wa muda mrefu kwenda kuolea mwanamke mwingine. Mjumbe toka UWABATA aliyekutwa na mkewe akiongeza maji kwenye losheni ataongoza kikao.
Katibu wa kikao ni mzee wetu aliyetumia hela yake ya kiinua mgongo kununua daladala bovu. Pia jamaa aliyetumia nyumba ya baba mkwe wake kukopea benki na kuishia kutumia vibaya mkopo wake atapewa nafasi ya kuzungumza.
Karibuni.
akijibu nitag mkuu 😁😁Ww mama unahusikaje na kikao cha wanaume
Wewe mwanamke kaa kimyaWw mama unahusikaje na kikao cha wanaume
😀😀😀😀Bila kumsahau mwamba alojenga na pisi yake Kisha akaoa mke mwingine akiahidi kumlipa mpenzi wake walojenga woteHiki ni kikao kitakachohusisha makundi yote ya wanaume hapa nchini isipokuwa wale walioleft. Hapa nazungumzia wanaume mabahili, wenye madeni madogo na makubwa, wenye michepuko, wenye watoto zaidi ya mmoja na kila mtoto na mama yake, wanaolaumiwa kuwaacha wapenzi wao na kuibuka na vifaa vipya na makundi mengine yote yanayotambulisha wanaume.
Eneo la kikao ilikuwa iwe kwenye hoteli nzuri katikati ya jiji ila kutokana na mchango wa Tsh 2000 kutochangwa angalau na mjumbe mmoja basi kikao kitafanyikia kiwanja cha Chaukucha, Msimbazi bondeni.
Mgeni rasmi atakuwa yule mjumbe aliyetumia akiba yote ya mpenzi wake wa muda mrefu kwenda kuolea mwanamke mwingine. Mjumbe toka UWABATA aliyekutwa na mkewe akiongeza maji kwenye losheni ataongoza kikao.
Katibu wa kikao ni mzee wetu aliyetumia hela yake ya kiinua mgongo kununua daladala bovu. Pia jamaa aliyetumia nyumba ya baba mkwe wake kukopea benki na kuishia kutumia vibaya mkopo wake atapewa nafasi ya kuzungumza.
Karibuni.
Na akioga hajifuti na taulo. Anajikung'uta kama mbwa. 😄Bila kusahau katibu yule anaeoga kwa mwaka mara moja
Na
Na akioga hajifuti na taulo. Anajikung'uta kama mbwa. [emoji1]