Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Mkuu Yahana Mbatizaji, johnthebaptist , amen, amen!.Tumuombee mwanaJF Pascal Mayalla apitishwe
Wote tuseme Amen!
Kazi iendeleeMwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumatano 7 Septemba 2022 ataongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam.View attachment 2348394
Msisahau kuwa leo ni siku ya kumbu kumbu ya maagano ya Mungu na Watanzania,alisikiliza kilio chetu mubashara tulipomlilia amnususru Mh.Lissu na adhabu ya kifo.Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumatano 7 Septemba 2022 ataongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam.View attachment 2348394
KIKAO CHA KUONGEZA TOZOMwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumatano 7 Septemba 2022 ataongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam.View attachment 2348394
Kidumu una hakika kizima🤔Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Akisha ula P tutaanza mpigia debe Jo 🤔Tumuombee mwanaJF Pascal Mayalla apitishwe
Wote tuseme Amen!
Agenda na maazimio?Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Septemba, 2022.
#AlipoMamaVijanaTupo
#KaziiendeleeView attachment 2348930
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Septemba, 2022.
#AlipoMamaVijanaTupo
#KaziiendeleeView attachment 2348930
Haswaaa wapige kaziKitadumu na kitaendelea kudumu. Wazee wa ufipa mtapanuka mioyo yenu. Kila la heri wajumbe wa Kamati kuu ya CCM. Pigeni kazi nasi tuko pamoja nanyi na KAZI iendelee
Kweli kweli kweli daimaaaa,Chama chukua chako mapema hakina mvuto🤔Sio chama chenye mvuto maana ni cha majizi ya kura, hivyo habari zake hazina tija.
Tozo tozoni🤸Agenda na maazimio?