MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,512
Lowassa ambae hawezi kemea rushwa hata dakika moja ana mkaba koo nani?
hatumtaki FISADI LOWASA
kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi kilichokuwa kikutane leo saa tano asubuhi, kimeahirishwa kutokana na kikao cha maadili chini ya mwenyekiti wake ndugu jakaya mrisho kikwete kilichokaa mapema asubuhi kuchukua muda mrefu kuliko ilivyotegemewa kwenye ratiba.
Hivyo kikao cha kamati kuu kinatarajia kufanyika majira ya saa kumi jioni ya leo, na kwamba wajumbe ambao walishafika eneo la ukumbi wa mikutano wa ofisi za makao makuu ya ccm maarufu kama whitehouse wametakiwa kuondoka na kurejea tena baadae saa kumi alasiri.
Kwa taarifa sahihi za mijadala na maazimio ya kikao hicho cha kamati kuu, fuatilia akaunti rasmi ya twitter ya chama cha mapinduzi kwa anuani hii;![]()
![]()
![]()
![]()
wajumbe wa kamati kuu wakijiandaa na kikao kinachotegemea kuanza muda mfupi ujao.
lingekuwa ni wazo zuri kama ungeanza kumshauri babu Slaa kuachana na siasa na kupumzika maana kama kuzeeka yule babu ni kikongwe kabisa..View attachment 253655
Hawa Mama zangu wamezeeka sana,Sasa wangepumzika kwa kweli!!
Tunawapenda,lakini hii mikikimikiki wangepumzika tu!!
Hizi ni akili za mtu mwenye mafindofindo kichwani..Kutakua na fisi?
Kiapo namba nne cha mwanachama wa CCM: "Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala sitatoa rushwa". Rais akitoka CCM, ndiye pia anayekuwa Mwenyekiti wa CCM. Sasa basi Mtoa rushwa NA.1 Lowassa, anawezaje kuwa Rais na pia Mwenyekiti wa CCM, bila kufuta kwanza kiapo hicho???? Lowassa tupa kuleeeeeeeee!!!!!!!
kafisadi kitu gani
Nani CCM anaweza kukemea rushwa,mbona wote ni sawa tu.Ni mafisadi wa kutupwa!
naomba kufahamishwa kwan hicho kikao ndicho kinaenda kupitisha wagombea wa nafasi ya uraisi ndani ya ccm
hatumtaki FISADI LOWASA