Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,163
- 22,739
Kuna habari nimepata kuwa kuna kikao kimeitishwa leo saa 4 kwa dharura kuangalia namna ya kumjibu au ku deal na Gwajima. Katika maongezi ya simu mtu mmoja alisikika akisema wanahitaji utulivu maana Gwajima anaonekana ana watu nyuma yake. Na yeye huwa si mwoga so wajipange vizuri.
Katika mazungumzo inaonekana pia kuwa kuna ambao wanasema maji yasikorogwe zaidi. Gwajima ameongea machache katika mengi anayoyafahamu so wanapaswa waangalie wasije wakamfanya amwagike zaidi. Ni bora waende naye kwa tahadhari sana.
Kuna wasanii wameanza pigiwa simu na masheikh na baadhi ya wachungaji njaa watoe matamko. Masheikh wamekubali wachungaji watatu wamekataa kuna wawili wamependekezwa hawajapatikana kwa simu. Hawa wanaandaliwa nao waje kujibu.
Vijana wengi wameambiwa sasa waanze kukumbushia ile video Gwajima akipiga show. Gwajima hili aliambiwa akasema siyo issue si ni mwanaume? So kama alikuwa anapiga show maana yake yupo sahihi.
Hali imekuwa mbaya kiasi kikubwa. Fisi wanaoongozwa na Chura wanahangaika, kuwa Gwajima anapewa taarifa na nani. Kila mara huwa anaonekana kuwa mbele yao. Lakini wameanza tafutwa pia watu walioonekana kuwa nyuma yake kwenye press. Hilo ni pendekezo kutoka kwa Mkubwa mmoja wa vyombo vya dola. Kuwa hao waliokuwa nyuma yake wakati wa press nao wafikiwe.
Tutapata majibu kamili baada ya saa 4 . Maana ndo wanapanga kuzungumza. Machawa wengi kwa sasa wanapima upepo. Hawajui waseme au wajibu nini.