Landala
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 997
- 483
Iwapo watatishwa, watajipambanua wapigania haki na wapigania ufisadi. Na hilo ndiyo uangamivu wao. Si mnasikia Sengerema nako diwani kaachia ngazi? Tunasubi wamalize bunge wengine wajitoe kwa wingi
Diwani gani tena huyo wa Sengerema aliyeachia ngazi?nanmba unijuze maana sijaipata hiyo.