Kikao cha dharura cha CCM mchana huu

Kikao cha dharura cha CCM mchana huu

Vipi kikao hakijaisha mtujuze yaliyojiri mliopo huko? Au wametoka wamefungwa makufuri midomoni kama kawaida yao?
 
nafikiri ule wakati wa usiku mchana umekwisha kama ccm wana busara usiku uwe usiku na machana uwe mchana wakiendelea na msimamo waliouonesha bungeni hata imani yao kwa wananchi inaweza kurudi.
otherwise chama hicho kinaanguka kuelekea uchaguzi mkuu ujao.wana ccm msilindane tajeni wala pesa za wananchi wote wanachi tuwajue na wawajibishwe. mafisadi wakubwa hao
 
Vipi kikao hakijaisha mtujuze yaliyojiri mliopo huko? Au wametoka wamefungwa makufuri midomoni kama kawaida yao?



hali ni ngumu sana....kuna fitna inafanyika ili deo filikunjombe asitoe ushadi wake bungeni....
 
Hii style ya kuchomoka mmoja mmoja kuna event kubwa inakuja. Amini usiamini inawezekana kura za kukosa imani zikatembea kwa maana wabunge wa CCM pia wameanza kusoma nyakati. Kwa sababu inaanza kwa madiwani then who's next..........
 
hali ni ngumu sana....kuna fitna inafanyika ili deo filikunjombe asitoe ushadi wake bungeni....

Hiki kitu hakiwezi kutokea kwenye bunge la Tz labda Kenya, wapi ushahidi wa Zitto kuhusu lobbying, wapi ushahidi wa Lema kuhusu Mzee wa Kili Moja Kwanza?.
 
Mpendwa MU-SIR mi nilikuwa najaribu kurekebisha hiyo sentensi yenyewe angalau watu waielewe kama mimi nilivyoielewa, si umeona nawe umeielewa, mwenzio REJAO hakuelewa kabisa.

yah nimeiona mkuu na nimeongea kuwa ni treni ya mwisho halafu inayotembea.
 
Mawaziri wakiweza kuchomoka hapa sijui bunge la vikao vya budget litakuwaje, miradi mingi imelala na fedha zilizoahidiwa mpaka leo hazijatolewa as per 2011/2012 budget, mbali na utafunaji wa zilizotolewa.
 
wp hawa ghasia na misuto kwa dr. kigwa??

Hamisi hamia CDM uchukue jimbo tena
 
kazi wanayo wabunge ccm wameibeba sirikali haibebeki jamani jamaa yao anakula kipupweeeee kwa mjomba maximamu
 
hawa jipya ubinafisi na ushabiki utawatafuna kuanzia bunge hadi kwenye familia zao

Mkuu unategemea nini kutoka wabunge wa ccm? Si ulisikia wakiwa nadani ya mjengo walikuwa wakirambishana rushwa ili mwenye dau kubwa ndiye achaguliwe kuwa mbunge wa EALA? Tatizo ni magamba kung'ang'ania mwlini?
 
Maskini CCM, inakufa huku inaona. Wenye macho kazaneni kukihama chama hicho kabla ya mazishi. Vikao vya faragha haviwezi huikoa ccm ila vinazidi kuiangamiza!
 
aibu sana
wale mawaziri wamekaa pale na vitambi vyao hawana hata cha maana kujibu shutuma za wazi kama zile
kazi anayoifanya CAG ni kubwa sana lakini ni kama anatwanga maji kwenye kinu
hawa viongoz wa magamba inaonesha enzi za ujana wao walikua masela mavi sana
 
Back
Top Bottom