mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
Yerico ni moto mkali, amerudisha Jf kwenye hadhi, nulimkubali aliposema doc zimeibiwa nikabisha, baadae itv ikatangaza, big up mkuuKama Yerickonyerere huwa ni muongo vipi kuhusu Ndugai yupo wapi kwani huyuhuyu alileta habari before na baadae ndicho kilichotokea.
Tunaomba ushahidi. Hizi tetesi zako mara nyingi ni uzushi tu.
Yerico ni moto mkali, amerudisha Jf kwenye hadhi, nulimkubali aliposema doc zimeibiwa nikabisha, baadae itv ikatangaza, big up mkuu
Naona watu wa LOWASSA mmejipanga
Mwigulu toka alivopata unaibu waziri kabadirika sana sio kama kipindi kile alikuwa wa hovyohovyo sana tena bila staha
Breaking New AG kuachia ngazi dakika 20 zijazo

Kama gari binafsi imefika pamoja na familia yake si ina maana wamekuja kumlaki mtoto wa mkulima na kumrudisha InyongaKikao cha CCM kimeitishwa mchana huu baada ya mapumziko ya bunge.
Tayari makamu wa rais ameshafika na viongozi waambata wote wa CCM, kinafanyika ukumbi wa White House.
Jambo la kuhashiria kuwa huenda jioni kukawa na breaking news ni kuwa tayari gari binafsi ya waziri mkuu yenye namba za usajiri T 164 AKF aina ya range rover imeshawasili eneo hili sambamba na familia yake.
Habari zilizozagaa toka kwa wabunge hapa ni kuwa jaribio la jana la kuwatuliza wabunge wa CCM limekwama kulingana na michango ya wabunge asubuhi, Sasa wamepanga binu mbili, moja ni kushinikiza bunge liiagize serikali ifanye uchunguzi kupitia ripoti ya CAG, PCCB na mapendekezo ya PAC na kisha bunge lijalo mwakani Feb 2015 serikali ije na majibu.
Na mbinu ya pili ni kukubali yaishe watu wawajibike leo leo.
Breaking New AG kuachia ngazi dakika 20 zijazo
Big up Yericko Nyerere nimekukubali.Kikao cha CCM kimeitishwa mchana huu baada ya mapumziko ya bunge.
Tayari makamu wa rais ameshafika na viongozi waambata wote wa CCM, kinafanyika ukumbi wa White House.
Jambo la kuhashiria kuwa huenda jioni kukawa na breaking news ni kuwa tayari gari binafsi ya waziri mkuu yenye namba za usajiri T 164 AKF aina ya range rover imeshawasili eneo hili sambamba na familia yake.
Habari zilizozagaa toka kwa wabunge hapa ni kuwa jaribio la jana la kuwatuliza wabunge wa CCM limekwama kulingana na michango ya wabunge asubuhi, Sasa wamepanga binu mbili, moja ni kushinikiza bunge liiagize serikali ifanye uchunguzi kupitia ripoti ya CAG, PCCB na mapendekezo ya PAC na kisha bunge lijalo mwakani Feb 2015 serikali ije na majibu.
Na mbinu ya pili ni kukubali yaishe watu wawajibike leo leo.
Wewe ni mpuuzi wa mwisho,lazima maamuzi magumu yachukuliwe. WAZIRI MKUU NJE.Tunaomba ushahidi. Hizi tetesi zako mara nyingi ni uzushi tu.