Kikao cha CCM mchana huu Dodoma!

sijamuona PM leo lakn Katibu Mkuu na Mwenezi walishaweka misimamo yao
 
Wewe na Yeriko Nyerere ana amecopy na kupaste ya mwenzake au ni mtu mmoja na ID tofauti?
Nimeshangaa niliona hii mada aliweka yericko huyu naye kaiweka nadhani hawa watu ni id za mtu mmoja.
 
Hata kama wamekosa lakini kiukweli huyo ni wizi wa mchana kweupee a cha waumbuane
 
Wewe ulishadharaulika na uongo wako, kapumzike tu salama

Kama Yerickonyerere huwa ni muongo vipi kuhusu Ndugai yupo wapi kwani huyuhuyu alileta habari before na baadae ndicho kilichotokea.
 
Hebu tusubiri maana akili ya kuambiwa changanya na.....
 

Mkuu YN wakikubali alternative ya kwanza basi imekula kwao! Maana hapo hata wapinzani wameongezewa speed!!
 
Mwigulu toka alivopata unaibu waziri kabadirika sana sio kama kipindi kile alikuwa wa hovyohovyo sana tena bila staha
ukishaona hivyo ujue anakaribia kuusaka uwaziri wenyewe
 
Yericko: Wengi tunafuatilia hili kwa hamasa na uchungu mkubwa. Jitahidi tujue mapema kwani ni muhimu kama wakishindwa kuheshimu wananchi tujue la kufanya. Wazalendo wanangoja ile wanayosema kama Mbwahi mbwahi du!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…