Kijiko cha kupakia mchanga kwenye magari

Nov 6, 2012
96
27
Wadau,

Yeyote mwenye kijiko cha kupakilia mchanga kwenye malori, ipo kazi hapa kwetu Misugusugu, Kibaha. Kazi itadumu kwa miezi miwili au zaidi kwa kupakilia eka mbili au zaidi za mchanga, kina kirefu hakipungui mita moja na nusu. Mchanga ni mzuri mweupe, watujazie wa mchanga wapo wengi.

Vibali vyote vipo.

Piga au whatsapp 0754370202 kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom