π π π π we jamaa km unayoandika hapa unatunga mwenyewe basi unakipaji sana cha kuchekesha geuza hivi vichekesho ongeza udabwi dabwi rekodi kwenye camera tupia youtube huko au ingia mkata na jamii forum uwe unatupia humu. mfano wa joti tv. hakika hutajuta...Baada ya kuzuka kwa gonjwa la Corona tuliletewa vikinga pua na mdomo (barakoa) na gloves za kuvaa mikononi hivyo vitu alitutumia mjomba mimi na mama na ndugu wengine.
Mama yeye anasema akivaa barakoa hapumui vizuri na wengine pia wanasema hivyohivyo ila mimi nimevaa naona kawaida na sema kweli nimependeza sana. Hadi sasa vijana wa kijijini wananiita Daktari maana nimevaa na shati refu jeupe.
Asubuhi navaa gloves na barakoa pamoja na shati langu jeupe refu naenda senta naongea nao yaani kama daktari na wengine wanajua kuwa naweza kutibu kumbe bado sijajua.
Sasa ni wiki imepita kila mtu anaiita daktari, daktari yaani ni raha kwa kweli na nimeomba wanitumie miwani yenye uzi wa kuning'inia ili wajue kabisa ni daktari.
Leo asubuhi walikuwa waniuliza mambo mengi sana hapa kijijini yanayohusu Corona nimewajibu vyema kabisa. Napendwa sana na wananchi yaani kila kitu kigeni huwa nawaonesha mimi pale kijijini.
Sent using Jamii Forums mobile app
weeeee usije ukapiga chafya kwenye uzi
Kuna muda anatujali sana hadi tunajikuta tunalia kwa mabaya tunayofanya juu yake.Huyu mjomba wako ni katika wale wachache watakao ingia mbinguni. Pamoja na kumkana kwa traffic, kumtorosha house girl wake lakini anakuletea barakoa usipate corona.
Nimeoa lakini naweza kuwa na mtu mwingine mke wangu akinisumbua nioe tena.[emoji28] [emoji28]
Mimi honestly I love this guy, Daktari kwani umeoa??
π π π π ππ na Uzi huu hapa ataunganisha mwenyewe
_________________________________
32+hahahaa......dakitare, una umri gn maana unaezajikuta umetamani kbs uende chuo ili jina liwe mahali pake!
Sent using Jamii Forums mobile app
ila we chaliii etiπ π π π π
Nadhani sasa atakuwa amekamilika, atasomba mabinti wote wa hapo kijijini.
Hiv mzee inawezekana kuingia mkataba na hawa mabepari wa jf? Wakulipe?π π π [emoji14] we jamaa km unayoandika hapa unatunga mwenyewe basi unakipaji sana cha kuchekesha geuza hivi vichekesho ongeza udabwi dabwi rekodi kwenye camera tupia youtube huko au ingia mkata na jamii forum uwe unatupia humu. mfano wa joti tv. hakika hutajuta...
Kijiji cha msela huenda bado wanajua lowassa ni waziri mkuu..ila we chaliii eti
π+π+ππ eti anasaidia wana kijiji
"ninawajibu kila kitu kuhusiana na corona pia kila kitu kipya Mimi ndo huwa nawaonesha....." kuna watu pepo wataionaππππKijiji cha msela huenda bado wanajua lowassa ni waziri mkuu..
upo karibu kutolewa posaBaada ya kuzuka kwa gonjwa la Corona tuliletewa vikinga pua na mdomo (barakoa) na gloves za kuvaa mikononi hivyo vitu alitutumia mjomba mimi na mama na ndugu wengine.
Mama yeye anasema akivaa barakoa hapumui vizuri na wengine pia wanasema hivyohivyo ila mimi nimevaa naona kawaida na sema kweli nimependeza sana. Hadi sasa vijana wa kijijini wananiita Daktari maana nimevaa na shati refu jeupe.
Asubuhi navaa gloves na barakoa pamoja na shati langu jeupe refu naenda senta naongea nao yaani kama daktari na wengine wanajua kuwa naweza kutibu kumbe bado sijajua.
Sasa ni wiki imepita kila mtu anaiita daktari, daktari yaani ni raha kwa kweli na nimeomba wanitumie miwani yenye uzi wa kuning'inia ili wajue kabisa ni daktari.
Leo asubuhi walikuwa waniuliza mambo mengi sana hapa kijijini yanayohusu Corona nimewajibu vyema kabisa. Napendwa sana na wananchi yaani kila kitu kigeni huwa nawaonesha mimi pale kijijini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipindi ulijinasibu hapa jukwani kuwa unahitaji kufanya upasuwaji kwa mafunzo uliyoyapata YouTube,vipi na iyo elimu unaitumia apo kijijini kwa sasaBaada ya kuzuka kwa gonjwa la Corona tuliletewa vikinga pua na mdomo (barakoa) na gloves za kuvaa mikononi hivyo vitu alitutumia mjomba mimi na mama na ndugu wengine.
Mama yeye anasema akivaa barakoa hapumui vizuri na wengine pia wanasema hivyohivyo ila mimi nimevaa naona kawaida na sema kweli nimependeza sana. Hadi sasa vijana wa kijijini wananiita Daktari maana nimevaa na shati refu jeupe.
Asubuhi navaa gloves na barakoa pamoja na shati langu jeupe refu naenda senta naongea nao yaani kama daktari na wengine wanajua kuwa naweza kutibu kumbe bado sijajua.
Sasa ni wiki imepita kila mtu anaiita daktari, daktari yaani ni raha kwa kweli na nimeomba wanitumie miwani yenye uzi wa kuning'inia ili wajue kabisa ni daktari.
Leo asubuhi walikuwa waniuliza mambo mengi sana hapa kijijini yanayohusu Corona nimewajibu vyema kabisa. Napendwa sana na wananchi yaani kila kitu kigeni huwa nawaonesha mimi pale kijijini.
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π π π"ninawajibu kila kitu kuhusiana na corona pia kila kitu kipya Mimi ndo huwa nawaonesha....." kuna watu pepo wataionaππππ