Kijana wa kugawa vipeperushi anahitajika

Kijana wa kugawa vipeperushi anahitajika

Software Engineer

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
344
Reaction score
137
Siku ya tukio
Jumamosi na Jumapili

Eneo:
Jijini Dar es salaam

Sifa:
  • Elimu isiyopongua kidato cha nne.
  • Awe na uwezo wa kuongea vizuri na watu.
  • Awe mkweli katika kutoa maelezo kwa wahusika. (e.g. Hakuna kutoa taarifa za uongo ili tu u-mshawishi mtu apokee kipeperushi)

Note:
Hii ni kazi ya siku mbili tuu(temporary)

Wasiliana na info@grabcityinfodotcom (weka nukta badala ya neno dot)
 
Back
Top Bottom