Kijana usitegemee hawa watu watakubadilisha

ni kweri dunia ya sasa inaongozwa na watu wa aina mbili wenye nguvu za kipesa na wenye akili usipo amka kama kijana utaishia kupumbazwa tuu
 
Ni kitu cha ajabu kusema kwamba motivational speakers hawana msaada wowote.Wapo waliofanikiwa kwa kuwasikiliza na kuyaweka katika matendo hayo wanayoyasikia wakichanganya na akili zao.Kama unafikiri kwamba ukiwasikiliza tu wanakuambukiza mafanikio yao unakosea kama ni hivyo basi hata wadogo zetu tuwaambie kwamba elimu ya darasani haina maana kwa sababu wapo wasomi wengi tu na hawana ajira(elimu waliyoipata haijawasaidia)
 
Siku moja miaka kadhaa iliyopita (zaidi ya 10) nilikuwa Grand Central Station Gotham, kuna duka la vitabu. Nilikuwa napenda kununua biographies,histories, science books etc zangu pale.

Siku hiyo nikawa naangalia self-help books, kujua tu titles gani ziko madukani sana. Mimi si mnunuzi sana wa vitabu hivi. Nafikiri kwa upande fulani nina ego inayoniambia naweza kujisaidia mwenyewe na sihitaji self help book, na kama nahitaji msaada, si kwa kitabu kilicho soobvious hivyo. Nimeanzakuvisoma zamani sana vya mshua, na vya zamani vilikuwa vizuri sana ukivilinganisha na vya sasa, I am talking Dale Carnegie, Mackay Harvey etc. If you read that stuff from 16, by the time you get to 30 some themes become repetitive and boring. So I skip most. In any case I find that biographies are more nuanced and have more real life examples. Even as they too become more and more like fiction.

Mara nikashtukia jamaa mmoja ananifuata ana m mic mkubwa sana, ananiambia yeye ni mtangazaji wa BBC World Service, anataka kunirekodi, kujua mawazo yangu kuhusu vitabu hivi vya "Self Help" na kama vina umuhimu.

Nikamkubalia, akaniuliza kama nanunua hivyo vitabu, nikamwambia hapana, vingi ni habari za mkumbo tu na kama vinawafaa watu, watu hao si mimi, maana vingi vina mambo yaliyo obvious sana, ukisoma magazeti tu utayaona.

Akaniambia kipindi kitarushwa hewani wikii liyofuata. Hii ilikuwa zaidi ya miaka 10 iliyopita.

Mpaka leo nakitafuta kile kipindi sijakipata.
Hahaaa! Hapo mwisho panaonesha ni nani aliwatuma hao BBC kukuhoji!
 
Mkuu sijajua ulikusudia nini, lkn mada iliyopo na uliyo eleza havifanani.

Ulikusudia nini?
 
Mkuu sijajua ulikusudia nini, lkn mada iliyopo na uliyo eleza havifanani.

Ulikusudia nini?
Kama hujajua nimekusudia nini, hujanielewa.

Kama hujanielewa, umejuaje kwamba mada iliyopo na nilivyoeleza havifanani?

Umetoa a judgement statement kwenye kitu ambacho hujaelewa.
 
Stop being motivated and start doing actual things. Amua kufocus na kujaribu angalau kimoja kuliko kuishia kumaliza pesa kwenye kuwa motivated and then what? Hizo seminar zipo very superficial hazi address issues ni kuongelea juu juu tu. Mentoring ni kitu muhimu zaidi ambacho mtu unapaswa kutafuta kutokana na area of your pursuit.
Exactly
 
He is being realistic.
Watu wengine hawawezi kuamua wala kufanya anything significant in life kwasababu ya too much running from reality,procrastinating and thinking positivity is all needed to face life.
Too much positivity to an extent mtu anaogopa akifanya hata hio biashara ya matikiti itakuaje akipata hasara.

So ataamua bora ampe mtu mwingine Pesa,amfanyie yote yeye apate faida.Hawa ndo wale wanaishiwa kutapeliwa na makampuni ya uongo ya bitcoins etc. Au bora atoke buku biko etc. All because it provides a sense of security.

Mtu mpaka sixties bado anahangaika na motivational books and audios.Bado anahangaika makanisani.
Sibezi maisha ya wengine,la hasha.
Ni ukweli Mtupu.Basi tu humans we were created,so that at different times to realize and act on the truth when we finally decide its what really suiting us.
And not of us are capable of facing the truth.

I've read quite a lot motivational books and audios.
Wanachoongelea kwanza Ni kukwambia reality yako ya maisha kwanza,kwamba hauamki mapema,we mvivu n.k
Hapa utajisikia vibaya na kutamani Sana suluhisho.
Then, watakupa several motivational ideas kwamba ujiamini,Fanya biashara kuliko kutegemea kuajiriwa n.k
Vitu vilevile.
Vitu vilevile tunavyojua.
Anyway.
I finally chose to face my real life.
For better,for worse,for richer,for poorer.My first real commitment, was with myself.
Lazima tukubali kuwa katika maisha Lazima kuna hard times na ifike point tuelewe hatuhitaji watu watakaotueleza maisha yetu magumu na kutupa map ya maisha,cause there is none.
I don't know.We are different.
Na tunaishi kwa sababu ya udhaifu,ujinga au uwezo wa wengine.
So,whatever.
We will just do as normal.Struggle to survive.
Some clever shits!
 
Tatizo unaandika "kuhuzulia" badala ya "kuhudhuria".

Hilo tu lishanionesha kitu.
Umejuaje kama nilitakiwa kuandika "kuhudhuria" na si "kuhuzulia"?
Hadi hapo inaonesha story yako yote inaweza kuwa fictitious kwa ajiri ya kutafuta attention!
 
Kama hujajua nimekusudia nini, hujanielewa.

Kama hujanielewa, umejuaje kwamba mada iliyopo na nilivyoeleza havifanani?

Umetoa a judgement statement kwenye kitu ambacho hujaelewa.

Judgement haiwezwi kufanywa pale mtu hueleweki?
 
Mwaka wa nne huu upo Dar es Salaam (Mjini)
Huna ajira nyingine zaidi ya kuhudhuria semina za akina Erick Shigongo (Motivation Speakers)
'How to be a rich'
(Zimekupumbaza)
Huna hata Toyo ya kuchora. (Huna mafanikio)
Mentors wako wanazidi kufanikiwa
(Wewe unafilisika kila siku)
My brother, my sister
•Wadogo zako uliowaacha kule kijijini kwenu
•Hawamjui Ruge wala Erick
•Hawajui Motivation wala inspiration Quotes
•Wana miliki familia
•Wanaishi kwenye nyumba zao
•Wanakula vizuri hawashindii kipande cha muhindi wa mia(100) kama wewe.
kwasababu akili yako haijiwezi.
Unasubiri Ruge akuambie rudi kijijni (halafu nani asikilize Clauds)
au Shigongo akwambie kalime matikiti au bamia (muda wa kusoma gazeti la IJUMAAA utapata wapi.)
Hakuna wa kukubadilisha zaidi ya wewe mwenyewe
Juhudi na ufanisi katika kazi
Ndio mafanikio yako.
Hao akina motivational speaker ni sawa sawa kabisa na marisayo waliotajwa katika mwandiko matakatifu.

Kila kitu wao wanajua.
 
Umejuaje kama nilitakiwa kuandika "kuhudhuria" na si "kuhuzulia"?
Hadi hapo inaonesha story yako yote inaweza kuwa fictitious kwa ajiri ya kutafuta attention!
Kuhuzuliasi neno la lugha uliyotumia.

Wewe ni wakuja ambaye hujui hata Kiswahili na hivyo hatuwezi kuelewana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom