Kijana usitegemee hawa watu watakubadilisha

Kijana usitegemee hawa watu watakubadilisha

He is being realistic.
Watu wengine hawawezi kuamua wala kufanya anything significant in life kwasababu ya too much running from reality,procrastinating and thinking positivity is all needed to face life.
Too much positivity to an extent mtu anaogopa akifanya hata hio biashara ya matikiti itakuaje akipata hasara.

So ataamua bora ampe mtu mwingine Pesa,amfanyie yote yeye apate faida.Hawa ndo wale wanaishiwa kutapeliwa na makampuni ya uongo ya bitcoins etc. Au bora atoke buku biko etc. All because it provides a sense of security.

Mtu mpaka sixties bado anahangaika na motivational books and audios.Bado anahangaika makanisani.
Sibezi maisha ya wengine,la hasha.
Ni ukweli Mtupu.Basi tu humans we were created,so that at different times to realize and act on the truth when we finally decide its what really suiting us.
And not of us are capable of facing the truth.

I've read quite a lot motivational books and audios.
Wanachoongelea kwanza Ni kukwambia reality yako ya maisha kwanza,kwamba hauamki mapema,we mvivu n.k
Hapa utajisikia vibaya na kutamani Sana suluhisho.
Then, watakupa several motivational ideas kwamba ujiamini,Fanya biashara kuliko kutegemea kuajiriwa n.k
Vitu vilevile.
Vitu vilevile tunavyojua.
Anyway.
I finally chose to face my real life.
For better,for worse,for richer,for poorer.My first real commitment, was with myself.
Lazima tukubali kuwa katika maisha Lazima kuna hard times na ifike point tuelewe hatuhitaji watu watakaotueleza maisha yetu magumu na kutupa map ya maisha,cause there is none.
I don't know.We are different.
Na tunaishi kwa sababu ya udhaifu,ujinga au uwezo wa wengine.
So,whatever.
We will just do as normal.Struggle to survive.
Aliekuoa hakika amepata
 
Kwanini siku hizi hauhudhurii vikao vya vidonge tiba? Haya maumivu mnaniachia mwenyewe niyatulize mpaka lini?
mkuu tunasaidiana bega kwa bega lakini ndugu yetu panadol ni mtegevu sana sijui kwanini
 
Nilikuwa chuo those days bana tukatangaziwa habari ya watu fulani hivi inspirational speakers wana kikampuni chao wanajiita sijui Eafrica nini huko sikumbuki,

Moja ya hao watu ni Mwang'amba ilikuwa free entrace

Wazee tukazama ndani eee bhana jamaa akapiga blah blah blah halafu mwisho akatangaza kutoa vyeti

Sikuamon macho yangu watu walitoa 10000 kwa ajili ya vyeti

Jamaa akapiga mpunga wake akasepa
 
jamani habari.zenu wakubwa.shkamooni
nna miaka 22 natafuta kazi yakufnya iwe ya usafi, viwandani ,madukani nipo tayari natokea.morogoro naomben msaaada
 
kilichobakia ni kupambana na hali yako sio kufocus kwa masemina hayo sanasana utaaambulia kupoteza muda wako bure na usipaate kitu chochote
Some times money,any way huenda wapo wanaofanikiwa pia,never kno
 
Mkuu umeongea fact ila kwa upande wa pili kuna mambo yakuangalia. C kila anayeishi mjini anaajira kuna wengine wanaishi kwa mipango mingine na mambo yanasonga. Na c kila anayeishi kijijin ana maisha mazur wengi tia tia maji. Huwezi rudi kijijin kama hujajipanga mana ndo kuona kama dunia imekuelemea
 
But frankly speaking, mimi vitabu vya Robert Kiyosaki mathalan Rich dad poor dad, cashflow quadrant, start your own company na vingine vimennifanya nijifunze kutengeneza balance sheet, nijifunze kukwepa kodi kisheria, kumanage business organization etc. Mimi sibichukulii kama motivatiin books. Mpaka leo kitabu cha cashflow quadrant nakirudia mara ya tano, its awesome piece of document
 
Bashatu,
Mkuu, hongera ila:-

Don't you see a difference between you and the rest who keeps moving from one motivational speaker to another one!?

Wewe hapo pana vitu unafanya kisha unachukua idea hizo za vitabu (motivators) unaweka kwenye vitendo sasa wengine kazi yao ni kuzunguka kila kona ya jiji kuhudhuria hizo speech while they have never established even a candy shop!!
 
Hapo pagumu. Tukijiuliza sana tunaona business idea inaweza kutokea popote, hata kwenye semina. Ila mimi nawashauri watu kama hawa, wahudhurie zile semina za mafunzo halisi ya kazi mfano, ufugaji kuki, samaki, Sungura, kilimo cha vitunguu, mapapai, utengenezaji wa sabuni n.k pia wawe watafiti sana, sio just kusikiliza halafu unapaparika kujaribu bila kusoma hali halisi hasahasa ya masoko. Na kujifunza kwa vitendo ndo njia bora zaidi.
Semina za fursa zina mapungufu yake mengi tu, sio realistic.
 
Bashatu

mkuu, Kweli kabisa,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom