Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,024
Kijana usikimbilie kuoa eti kwasababu rafiki zako wameoa au unapata shinikizo toka pande fulani!Kumbuka kuoa kuna mambo haya kupata au kupatikana ukipata hakuna tabu hapo ila ukipatikana kuna mambo haya ,uvumilie au utaliki,ukitaliki hakuna tabu hapo ila ukivumilia kuna mambo haya ........
Mwingine aendeleze hapo ushauri kwa vijana
Mwingine aendeleze hapo ushauri kwa vijana