Kijana usichukue nafasi ya mume

Kijana usichukue nafasi ya mume

Acha kuwapotosha vijana wewe. Yaani wakose papuchi kisa kubania elfu kumi? Unajua madhara ya kujibanabana kufanya ngono wewe? Na unajua kwamba maisha ni leo, na ya kesho anayapanga mola?

Wapo waliojifanya wagumu wakabana Kama unavyoshauri lkn hawakutoboa mpk wakaenda kaburini. Mungu akikuandikia unaweza kuwa tajiri hata kwa kuokota jiwe la Tanzanite kama ilivyotokea kwa Laiza (yule mmasai).

Vijana kuleni raha, elfu kumi kitu gani bana.
haahhahaa waambie waambie 😅😅
 
Kama mbususu ulipata sasa shida nini😆😆😆
Niliikuta bado mpya siku ya kwanza yote nakomaa kuitoa kidogo anahairisha next day nkasema wacha tu kama utapiga kelele sawa tu😃😃sema fresh tu nlichakata kinyamwezi
 
Niliikuta bado mpya siku ya kwanza yote nakomaa kuitoa kidogo anahairisha next day nkasema wacha tu kama utapiga kelele sawa tu😃😃sema fresh tu nlichakata kinyamwezi
Sasa huoni kama hela ilienda kihalali mkuu tena kitu kipya kabisa😆😆
Asingetokea ndio pangekua padogo
 
Sasa huoni kama hela ilienda kihalali mkuu tena kitu kipya kabisa😆😆
Asingetokea ndio pangekua padogo
😂😂😂😂weweeee yani nilipe ndo nisubiri😂😂😂nlikutana nae stand ya mabasi nikamshika mkono tukaongozana😂😂😂sasa hapo nilikuwa 20yrs wale reception wanashangaa tu😂😂
 
😂😂😂😂weweeee yani nilipe ndo nisubiri😂😂😂nlikutana nae stand ya mabasi nikamshika mkono tukaongozana😂😂😂sasa hapo nilikuwa 20yrs wale reception wanashangaa tu😂😂
Mkuu una confidence hivo ukiwa na 20 years😆😆😆
Unatakiwa ujengewe sanamu lako kwenye yale mawe ya ziwa Victoria😆😆😆
 
Ni mpumbavu pekee atakaekua anahudumia pasipo na manufaa kwake.

Ni bora ununue papuchi kuliko kuhudumia eti kwa matumaini kua utakuja kuoa siku zisizo na jina.
 
Dem moja hivi nalipiga sound lnanambia haliwezi kuwa wapenzi na mm labda tuwe marafiki tu😃😃sijakaa sawa et naomba hela nikasuke mara sijui hela ya bundle
Nikaona uchwara huu yani uniweke friendzone alafu nikuhudumie kama demu wangu isitoshe mtu yupo mkoa😂😂nkamwambia hiyo hela bora nikale nyama choma
 
Dem moja hivi nalipiga sound lnanambia haliwezi kuwa wapenzi na mm labda tuwe marafiki tu[emoji2][emoji2]sijakaa sawa et naomba hela nikasuke mara sijui hela ya bundle
Nikaona uchwara huu yani uniweke friendzone alafu nikuhudumie kama demu wangu isitoshe mtu yupo mkoa[emoji23][emoji23]nkamwambia hiyo hela bora nikale nyama choma
Huoni Kasi ya midada mikubwa kukimbilia kwa vijana wadogo ambao akili hazija balehe imekua kubwa
 
Back
Top Bottom