Kijana; Usibabaishwe na wanawake

Hahaaaa!!!

Ubahili una wakati wake mkuu.

Kuna wakati wa kukusanya na wakati wa kutawanya. Kwa sasa mama yangu na wadogo zangu wanapata 20% ya mapato yangu.

Mke Wangu lazima afaidi Mali zangu. Kwani atakuwa naye katika upangaji wa bajeti ya mwaka
kwenye nyekundu hiyo usiseme mkeo tu atafaidi mali zako sema mkeo na michepuko yake watafaidi mali zako
 
Hukuwa mtumwa wa wanawake
ukawa mtumwa wa maneno ya babu.
utumwa hauepukiki maishani

Hongera...
ila usithubutu kukutwa na mwanammke akakushika. utahonga shamba na matikiti na cherehani zote.
endelea hivo hivo kuwakazia
Hahaaaa!!

Njoo unishike Mkuu, nikupe matikiti na Vyerehani vyote nirudi Moshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…