carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,273
Wanasemaga kila shetani na mbuyu wake! Sasa katika kupita pita ku exploit ujana wako na kuji spoil kidogo hujakutana na mbuyu wako?Mbuyu ndio nini Mkuu?
Kumbuka kukimbia tatizo sio suluhisho, labda uwe na tatizo la kitambi!
Wengi wanaanzaga vizuri kwa kukaza kumbe ugumu wako unatokana na ku abstain! Sasa wakishaanza kuonja ndio wanakutana na "mbuyu " wao na ndio mwanzo wa kuyumba!