Kijana; Usibabaishwe na wanawake

Kijana; Usibabaishwe na wanawake

Hahaaaa!!!

Ubahili una wakati wake mkuu.

Kuna wakati wa kukusanya na wakati wa kutawanya. Kwa sasa mama yangu na wadogo zangu wanapata 20% ya mapato yangu.

Mke Wangu lazima afaidi Mali zangu. Kwani atakuwa naye katika upangaji wa bajeti ya mwaka
Hongera kwa uthubutu Na kutokua na aibu wengi wetu utuambie tusimame barabarani tuuze matunda hatuwezi.
 
Ulishawahi kukutana na "mbuyu" wako halafu uka maintain standards? Kama bado jiweke madhubuti zaidi... Kama tayari keep it up!
 
Nilipoanza kazi ya ufundi nguo walisema na kutoa maneno ya karaha. Nilipokuwa nauza matikiti yangu barabarani nikiwa nimeyapanga huku nimechomekea na tai shingoni mademu walinishangaa. Hawajui mwenzao napiga pesa wao wanashangaa tuu na kunipiga vibomu.

Sasa chuo tumemaliza, ajira zimekuwa adimu sana. Wanakuja wenyewe. Wanataka niwaajiri kwenye Stationary yangu.

Nawaambia wauze matunda ambayo nayaweka kwenye vibakuli na kusambaza wanasema wanasikia aibu.

Nawaambia wasambaze chupi,bikini, na boxer ninazozitengeza hawataki. Wakati Mimi nazipeleka kwa vijana wa karume na Matching Guys(Machinga).


Kwa sasa naandaa Bajeti ya kujenga katika kiwanja changu kilichopo Goba.
Huko kote naweza kukubali ila hapa ni ngumu kidogo kwamba unatengeneza bikini, boxer nk. dah! umetisha mzee.
 
Hongera kwa uthubutu Na kutokua na aibu wengi wetu utuambie tusimame barabarani tuuze matunda hatuwezi.
Kweli hata mimi nilikuwa mwoga sana. Aibu ilikuwa imenishika sana.

Ila Bibi yangu aliwahi kuniambia, kuwa kama mwanaume. Aibu haiwezi kukupa maendeleo.

Aliniambiaga hivi kisa akinituma kwenda dukani kukopa nilikuwa nakataa kisa ni aibu.

Kwa sasa unauza matunda na kushona huku umependeza, simu ya bei mbaya na kapiki piki hapo nje. Sidhani kama kuna aibu tena.

Kumbuka: biashara inaenda kulingana na haiba ya mtu. Watu wanakuja kwenye biashara kulingana na ulivyo. Kwa sasa vigari ndivyo husimama katika ofisi yangu. Hivyo bei pia inapanda
 
Huko kote naweza kukubali ila hapa ni ngumu kidogo kwamba unatengeneza bikini, boxer nk. dah! umetisha mzee.
Kuteneza chupi moja kuanzia kuikata na kuiunganisha/kuishona haichukui dakika 30. Ndani ya saa moja unaweza toa chupi 3-4. Chupi moja kwa jumla ni elfu nne. Reje reja ni 6000.
 
Mkuu wewe kama Mimi, hakuna kitu ambacho sikipendi kama ku complicate maisha ili watu wawe pleased na mimi, ni kitu ambacho sikipendi, sina kitu kama icho na staki niwe nacho forever!!!, I'm living my life,
Ndivyo nilivyo mkuu.
 
Back
Top Bottom