Zirconium
Senior Member
- Feb 1, 2025
- 133
- 175
- Thread starter
- #21
Nimezungumzia kuwa Kama bado unajitafuta , kile unachopata unakiwekeza Kisha baada ya mda utaondoka ukiwa na Msingi imara .Bila hizo changamoto za kujitegemea, hutokaa upate msukuko wa kusimama na kujisimamia mwenyewe. Omba tu Mungu wazazi wako wapate ujasiri wa kukufukuza, utawashukuru baadae.