Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Presha ikipanda panda unaenda kuishushia Dubai....😁Raha ya kuzeeka uwe financially stable..mengine yatajiset..
Presha ikipanda panda unaenda kuishushia Dubai....😁Raha ya kuzeeka uwe financially stable..mengine yatajiset..
Ila mi stak masuala ya kuambiwa acha kula nyama sijui sukari..aku sitaweza .ntadanja mapema..yes ukiskia mapigo ya moyo yanaenda mwendokasi fasta unakwea mwewe kwa Madiba huko kucheki...raha mno..sio mnakutana dispensary za serikali🤭😏!Presha ikipanda panda unaenda kuishushia Dubai....😁
Dispensari za serekale nesi anakufokea hadi unazidiwaIla mi stak masuala ya kuambiwa acha kula nyama sijui sukari..aku sitaweza .ntadanja mapema..yes ukiskia mapigo ya moyo yanaenda mwendokasi fasta unakwea mwewe kwa Madiba huko kucheki...raha mno..sio mnakutana dispensary za serikali🤭😏!
Ipo stage utafika na utatamani urudi stage ya nyuma walau sekunde 10 ili ufanye kitu cha maana……Mm sijawahi taman stage nilotoka
bas hujawah kula bata la maana, ss tuliokuwa watu wa viwanja tunamis sanaMm sijawahi taman stage nilotoka