fukunyungu
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 717
- 194
utakuja kuliwa makalio kijana, jiangalie vzuri na mambo yako ya kipumbavu, ww mwenyewe unajiona mjanja, utakuja f...rwa muda c mrefu...

Kumbe bado kuna wanaume wajinga. Hili nalo linahitaji katiba mpya?. Wewe mwili wako una thamani ya shilingi ngapi? Umemfanyia kaz gan il akulipe? Hawa ndio nyie mnasifu ngono na pombe halafu unadai ccm inakuonea. Ungekuwa karibu yangu ningekutandka kofi.
Mkuu punguza jaziba! kwanza uelewe hakuna aliyetimia hapa duniani,kila mtu anamapungufu yake kama niliyonayo mimi. kuhusu malipo ofcoz huyu mama ni mtu mzima sana kwangu,so ni lazima anilipe kiaina na si kiunitumia tu! kwani unafikiri madem wa rika langu siwaoni? nawaona sanaKumbe bado kuna wanaume wajinga. Hili nalo linahitaji katiba mpya?. Wewe mwili wako una thamani ya shilingi ngapi? Umemfanyia kaz gan il akulipe? Hawa ndio nyie mnasifu ngono na pombe halafu unadai ccm inakuonea. Ungekuwa karibu yangu ningekutandka kofi.
Heshima mbele wana jamvi!. Hii ni true story na siyo tungo.
Ni mara chache sana huwa napita kwenye jukwaa hili la MMU....jukwaa la siasa ndiyo maskani yangu hasa.
Ila kutokana na issue ambayo inanichanganya kidogo,nimeona si mbaya kwa leo nikipita huku ili kupata maoni kidogo juu ya swala hili.
Binafsi mie ni kijana,siko chini ya miaka 29 na sijafikia miaka 35. Kama mnavyojua mambo ya mjini katika mizunguko ya hapa na pale
siku moja nikakutana na lijimama (mke wa mzito fulani) yaani ni lijimama la nguvu,limepanda hewani,maji ya kunde. Umri wake nahisi ata
kuwa kwenye 55 au 60. Tokea tumeanza mahusiano huu ni mwezi kama wa 7 hivi, lakini kitu ambacho kinanisikitisha ni hubahiri wa huyu
mama kwenye pesa. Yaani ananipeleka kwenye hotel za bei na analipia room kuanzia elfu 50 hadi 80,nakula na kunywa ninachokitaka na
analipa bili yote! lakini linapokuja swala la kumuomba anisaidie pesa kiasi fulani' basi hapo huwa mbogo na mkali....na hiyo pesa hanipi.
Kama kujituma tuwapo kwenye 6x6 najituma sana hadi mwenyewe anaridhika,lakini likija swala la mimi kutaka pesa mama anakuwa bahili.
Sasa najiuliza, maisha haya mpaka lini? ukizingatia kitu ninachokifanya ni zambi kwa mungu! na mke wa mtu ni sumu. Lakini majuzi kaniam
bia eti kuna kitu cha maana sana atanifanyia na nitafurahi sana....lakini simwamini kutokana na ubahili wake (lakini ni family yenye mshiko)
Naombeni ushahuri wenu jamani! - Je ni kweli iko siku atanitoa au ananitumia tu kama condom?.
Nimependa sana comment yako! nafikiri inamashiko fulani.....ngoja nicheck nikiona vipi nitasepachapa lapa huna chako hapo,anapenda mashine yako tu,ndio maana anakupeleka hotel nzuri ili awe comfortable,anakulisha chakula kizuri ili ushibe upige show ya uhakika.Acha kupenda dezo mtoto wa kiume halafu unafanya dhambi hujui mke wa mtu ni sumu??
Hapo kwenye bold mkuu. Nimesema siko chini ya miaka 29 na siko zaidi ya 35. Mkuu mie siyo mtoto sema mambo ya mjini na maisha ndiyo yanatupelekea kufanya mambo kama hayaNi mtoto ndo maana anasema hajafika hata 29;inawezekana atakua ni mwanafunzi,tena wa diploma na kama ni shahada basi mwaka wa 1 au wa pili,ila hajamaliza chuo,,,,,,stori hizi hupiga watoto

Ahsante sana mkuu! lakini hapo kwenye bold sipawezi kabisa. kwani huyu mama ni mtu mzima na anajiheshimu sana! pamoja na mapungufu yake ya kunipenda mimi wakati yeye ni mke wa mtu,lakini naona huyu mama ana busara na hekima....so siwezi muhaga kwa hiyo boldAnakuua mkuu achana nae wapo wengine wanakutafuta kwa udi na ufumba.Muage kwa Tigo.
Mkuu hapo kwenye bold, naomba uamini kuwa hii habari ni ya kweli na si ya kutunga. Hata hivyo ahsante kwa ushauri wakoEndelea kumridhisha mama wa watu, huwezi jua anaweza kuwa anakupima uvumilivu wako! Kumbuka mvumilivu hula mbivu!
Ila umejitahidi kutunga!

You only get compensated for service(s) rendered. Wake up!
Ahsante sana kwa ushauri wako! ila hapo kwenye bold, sijawahi tumia aina yoyote ya kilevi na kuhusu kiyoyozi hata nyumbani kwetu kipo.

Can't help but agree with u here!! Ofcourse being young one tends to sell his sex prowess for money...huyo mama anajua uko naye bcoz of what she can offer in kind! Ni kama mafataki na vibinti....
Pata size yako achana na hiyo mimama, unapojituma kwenye hiyo 6 kwa 6 na wewe unaridhika, enjoy hizo bia za bure na kiyoyozi, labda zawadi atakayokupa hivi karibuni ni kukuletea shogaake umzingue hapo akiwa kashakutumia kachoka...
In short u r used goods!

Ahsante sana kwa ushauri wako! ila hapo kwenye bold, sijawahi tumia aina yoyote ya kilevi na kuhusu kiyoyozi hata nyumbani kwetu kipo.

Ahsante sana mkuu! lakini hapo kwenye bold sipawezi kabisa. kwani huyu mama ni mtu mzima na anajiheshimu sana! pamoja na mapungufu yake ya kunipenda mimi wakati yeye ni mke wa mtu,lakini naona huyu mama ana busara na hekima....so siwezi muhaga kwa hiyo bold
Nyumbani kwenu na sio kwako!!,.......Ahsante sana kwa ushauri wako! ila hapo kwenye bold, sijawahi tumia aina yoyote ya kilevi na kuhusu kiyoyozi hata nyumbani kwetu kipo.