Kijana kinauzwa.

Kijana kinauzwa.

amon jason

Senior Member
Joined
May 13, 2013
Posts
125
Reaction score
4
kiwanja kizuri sana KINAUZWA maeneo ya mbezi beach tangibov karibu NA kanisa la Lutheran neo ni jk nyerere. kimepimwa kabisa NA hatimiliki za kiwanja zipo. NA unaweza kwenda wizara ya ardhi kufatilia.
cubic meter 387
price 200m
mita 20 kwa 16.

kiwanja kina nyumba kabisa.
tuwasiliane.
0713507487
0767507487
0782898210
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1373729043116.jpg
    uploadfromtaptalk1373729043116.jpg
    83.5 KB · Views: 283
Kiwanja kina cubic meters?

Ungesema 320 ningejua umekosea badala ya square meters, lakini 387 halafu 20 kwa 16!!!

Dalili za utapeli...
 
200m seriously?

Best mie niliwaza huyo kijana atakuwa na nini mpaka anauzwa.......
Usishangae 200m maana waTanzania wana madeal makubwa makubwa kama yale ya 6b yaliyoback fire SA nk...
 
Hebu best angalia vipimo hivyo hata nusu heka haifiki...
Hiyo pesa ni kubwa sana kwa size kama hiyo hata kama eneo lipp Mbezi Beach...
With that amount of cash unaweza pata hata beach plot na kubwa zaidi ya hiyo...

Best mie niliwaza huyo kijana atakuwa na nini mpaka anauzwa.......
Usishangae 200m maana waTanzania wana madeal makubwa makubwa kama yale ya 6b yaliyoback fire SA nk...
 
Elimu ya Shule za kata, siyo kosa lake ni kosa la Serikali ya CCM kuwanyima watu wake elimu nzuri! Kiwanja kina Cubic Meter!
 
200m seriously?

Hela ya karanga hiyo Dr......ngoja niende Brazil.......nikirudi nakupatia.......utanilipa ukipata.......sawa Dr......chukua muwanja huo.......
 
Hili tangazo ni comedy tosha maana title ni kijana anauzwa na subject ni kiwanja kilichopimwa kwa cubic metre lol!
 
Hela ya karanga hiyo Dr......ngoja niende Brazil.......nikirudi nakupatia.......utanilipa ukipata.......sawa Dr......chukua muwanja huo.......

Dr hiyo size ya kiwanja si unaishia kujenga frame tu...
Ila kwa kuwa nshapata ofa ngoja nikong'oli hizo namba nitachukue plot hiyo...
 
Yeah,
Urefu x Upana x Kwenda Juu

Heheheee....! Sio kwenda chini mkuu.? Anauza na anga ya kiwanja. Cha kushangaza ukifanya heabu utapata miliki ya kiwanja isiyozidi 1.2 metres which means unahitjika kutambaa ili mwili uwe kiwanjani kwako. Heheheeehheeee.
 
Back
Top Bottom