KIJANA GODSON MBAGA Ameendelea kukonga nyoyo za wananchi wa jimbo la same

Hongera kwa kutoa elimu ya uraia vijijini vya same.
 
I like his name GODSON lol!
ila jamani hivi kweli walishindwa hata kumtafutia meza ya mwl ya kufundishia apande?? hauoni kwamba ni hatari sana anaweza kudondoka mkasingizia kalogwa?? ama ni mapepo??
 
Huyu kijana ni mfano wa kuigwa,sio wale wanaojiita wabunge kwenye majukwaa na akuna harakati zozote wanazofanya,pambana kijana tuko nyuma yako,aluta continua
 
Huyu kijana nimependa sana juhudi zake na mipango yake ya kupeleka elimu ya Uraia huko vijijini, huu ni wakati wa wapare kupokea mabadiliko.

CHADEMA yatosha!!!!
Mbona hao raia wanao msikiliza hata kumi hawafiki?
 
Huyu kijana ni mfano wa kuigwa,sio wale wanaojiita wabunge kwenye majukwaa na akuna harakati zozote wanazofanya,pambana kijana tuko nyuma yako,aluta continua
Nyuma yake tena? Una taka kumlibelary?
 
I like his name GODSON lol!
ila jamani hivi kweli walishindwa hata kumtafutia meza ya mwl ya kufundishia apande?? hauoni kwamba ni hatari sana anaweza kudondoka mkasingizia kalogwa?? ama ni mapepo??

Mwanzo mgumu , usikonde !
 
Ukiwa CCM kila kitu ni kuchakachua tu, wapo akina Dk. Nchimbi, Dk. Nagu na Prof. Tall water! Wote hawa waliupata Udokta kabla. Chezeya gamba weye, ndo maana hawatoki humo!

Ha ha ha ha ha....! tall water! Docta "dhaifu"
 
Safi sana kijana... Hii iwe chachu kwa vijana wengine wa maeneo mbalimbali.. Tukifanya hivi ccm LAZIMA wangukie pua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…