Kijana Exaud, mbunifu anafurahisha!

Kijana Exaud, mbunifu anafurahisha!

View attachment 1764804View attachment 1764805View attachment 1764810

Nimekutana na mtoto Exaud (ana miaka 12, darasa la 5) pale Mbalamwezi,mbele kidogo ya (Mafinga) Nyololo, njia ya Iringa -Mbeya.
Nimefurahia ubunifu wake na jinsi ambavyo Neno la Mungu limemkaa.

KILA MWENYE PUMZI AMUSIFU BWANA

Kizuri zaidi ni namba plate liyoiokota barabarani na "kusajili" pikipiki yake.
Hapo nikasimama na kumuuliza ametoka wapi, kasema ametoka mashine ya kusaga, katumwa na mama!

Hii imenikumbusha na mimi utotoni!
Hongera sana Exaud!
Aisee naomba umnunulie nguo mpya nitakulipa.
 
Vema. Hivi, siku hizi masomo linaloitwa SANAA NA UFUNDI bado lipo shule za msingi? Ninakumbuka tulitengeneza vifaa vya ususi, ufinyanzi , uchongaji n.k. Mbona mimi sioni watoto siku hizi wakikimbizana na vitu hivi? Au maendeleo , wanafanya kwa staili tofauti?

Maoni yangu kuhusu hiki chombo

Kijana amejitahidi. Maana hiyo kuunda chombo kama hiki unahitaji fikra na utmilifu wa mwili. Hii inasisitizwa sana kwa watoto ili kukuza ubunifu.Lakini, pengine kutokana na mazingira ama kukosa mtu wa kumuongoza, baiskeli yake ipo chini ya kiwango. Yani yeye kwenye finishing ni sifuri kabisa. Ninakumbuka zama zangu nikiwa na umri huo nilikuwa nafyatua Boxer na Sun LG za ukweli. Matairi makubwa, yamenyooka kutoka mti wa mgongo. Mbao zinanyooshwa vema kabisa utasema nina randa. Kilichofuatia ni ugomvi na mama kutokana na kuchana kaputula. Yani makalio ya kaputula yanakuwa kama miwani, mitundu mikubwaaa. Kuzuia sconzi zisichubuke unavaa kaputula mbilimbili. Dah!

Asante kwa kunikumbusha niteen kweusi
 
View attachment 1764804View attachment 1764805View attachment 1764810

Nimekutana na mtoto Exaud (ana miaka 12, darasa la 5) pale Mbalamwezi,mbele kidogo ya (Mafinga) Nyololo, njia ya Iringa -Mbeya.
Nimefurahia ubunifu wake na jinsi ambavyo Neno la Mungu limemkaa.

KILA MWENYE PUMZI AMUSIFU BWANA

Kizuri zaidi ni namba plate liyoiokota barabarani na "kusajili" pikipiki yake.
Hapo nikasimama na kumuuliza ametoka wapi, kasema ametoka mashine ya kusaga, katumwa na mama!

Hii imenikumbusha na mimi utotoni!
Hongera sana Exaud!
Iringa hizi mambo wanaita BAGADU. Zipo pia Kigoma na Tanga
 
Back
Top Bottom