Nilikokulia tuliziita NGOLONGOJOIringa vinaitwa VIGELETI..kikikuangusha tegemea kulala bed mwezi 1 hayo mambao yakifumuka kwenye mseleleko .utaimba haleluya...tumeendesha mno enzi hizo
Kwenye mteremko wee..ila ukiangukaaa🤣 mie nna makovu had leoNilikokulia tuliziita NGOLONGOJO
Babaako analo?Hakuna ubunifu hapo zaidi ya takataka
Wazee wa kupondaHakuna ubunifu hapo zaidi ya takataka
Mkuu panaitwa "Mbalamaziwa" siyo Mbalamwezi. Hapo ndipo johnthebaptist anapopata Ulasi kila siku asubuhi.Mbalamwezi
Kijana huyo anakuzidi kiakili kwa mbali sana!Hakuna ubunifu hapo zaidi ya takataka
Asante kwa sahihisho mkuu.Mkuu panaitwa "Mbalamaziwa" siyo Mbalamwezi. Hapo ndipo johnthebaptist anapopata Ulasi kila siku asubuhi.
Nimeendesha sana hivyo "vibagadu" mitaa hiyo enzi za utoto
Kuna Load bearing Capacity hapoHakuna ubunifu hapo zaidi ya takataka
Ni kweli huyo kijana na akili ya kihandisi.Akifika kwenye mlima anakokota.
Akifika kwenye mteremko anapanda
hahaha mimi wa humu humu barani mkuu, sasa hapo hiyo miti ilivyokuwa free of charge akijichanganya si tunamkosa..Aruu!
Unatoka Makunduchi au Mchambawima kule Zenj!
Du... umempa ukweli halisi.Kuna Load bearing Capacity hapo
Kuna Wheel bearings hapo
Kuna Motion Steering hapo
Kuna stability hapo
Na kuna ujumbe mahsusi wa wote walio na uhai, kumsifu Bwana.
Wewe mkuu HUNA hivyo vyote!!!
Naona kama ni Mbalamaziwa, njia panda ya Malangali High School, vipo vingi sana wenyewe wanaita VibagaduView attachment 1764804View attachment 1764805View attachment 1764810
Nimekutana na mtoto Exaud (ana miaka 12, darasa la 5) pale Mbalamwezi,mbele kidogo ya (Mafinga) Nyololo, njia ya Iringa -Mbeya.
Nimefurahia ubunifu wake na jinsi ambavyo Neno la Mungu limemkaa.
KILA MWENYE PUMZI AMUSIFU BWANA
Kizuri zaidi ni namba plate liyoiokota barabarani na "kusajili" pikipiki yake.
Hapo nikasimama na kumuuliza ametoka wapi, kasema ametoka mashine ya kusaga, katumwa na mama!
Hii imenikumbusha na mimi utotoni!
Hongera sana Exaud!
Umenikumbusha mbali Mkuu, kuna mtu kule home hiyo kitu iliwahi kung'oa nanilii za huku chini alililia balaa.Iringa vinaitwa VIGELETI..kikikuangusha tegemea kulala bed mwezi 1 hayo mambao yakifumuka kwenye mseleleko .utaimba haleluya...tumeendesha mno enzi hizo