Ndiyo maana mimi nawauliza wanaume hivi huwa hujiulizi mara mbili tatu na kustuka unapoona mwanamke anajiletea mwenyewe kwako kirahisi?
Hushangai kwanini anavaa nguo za mitego?
Hushangai yeye anakupigia simu na kujutafuta kila wakati?
Hustuki tu?
Au ndiyo unachukulia kuwa unabahati ya kupendwa?
Yani kwamba wewe unangekewa au?
Tafakali
Sent using
Jamii Forums mobile app