Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,557
SIASA ndio itaamua ununuliwe ARV au la
SIASA ndio itaamua ununuliwe ARV au la
Watu wakishajua umeumia aisee ni dharau mpaka kufa
Zilipendwa?? kapime uambiwe unao utajua kama ni zilipemdwa au toleo jipyaVitisho vimekuwa vingi Sana utadhani huo ukimwi umekuja Jana,wakati ni zilipendwa
Post hii ndio imethibitisha uwezo wako mdogo wa akili. Ya kwanza haina mpangilio, hii nayo umechanganya mawazo mawili yasiyohusiana!! Tatizo la Form 2 kumiliki Smartphone, mnatuharibia jukwaa!!!LA muhimu ujumbe umefika. Mengine kajadilini ufipa ila 2020 Mbeya Mjini hamna chenu. Wameamua ku-Tulia.
Haina mpangilio ulisoma ya nn? Jihadhari na UKIMWI utadharaulikaPost hii ndio imethibitisha uwezo wako mdogo wa akili. Ya kwanza haina mpangilio, hii nayo umechanganya mawazo mawili yasiyohusiana!! Tatizo la Form 2 kumiliki Smartphone, mnatuharibia jukwaa!!!
Poleni sana. UKIMWI umeua mamilioni ila vijana hawakomiNimepoteza kaka zangu wawili kwa ukimwi.. Hadi Leo huwa naogopa sana kuhusu huu ugonjwa.. Nakumbuka kaka yangu alivyofariki kwa huu ugonjwa mwaka 2010 nikiwa form four nililia sana. Acheni Jamani mambo ni hatari sana kuhusu huu ugonjwa.. Hapa ninapoandika Kuna kaka zangu tena wawili wanaishi na maambukizi ya ukimwi.. Tumebaki wawili tuu ambao tupo safe.. Kila nikiona habari za Ukimwi nasononeka nawakumbuka kaka zangu waliotangulia mbele za haki pia mawazo yananijia kuhusu Hawa kaka zangu wanaoishi na maambukizi ya ukimwi. Inauma sana yaani ndugu zangu acha kabisa omba yasikukute maana sisi tuliobaki ndo tumekuwa walezi wa watoto walioachwa.
Onyo.. Mungu akikujalia Hali nzuri ya maisha itumie vizuri kwa sifa na utukufu wake Usije ukamkufuru mungu. Mungu akikutelekeza utapata pigo la maisha.. Hawa ndugu zangu waliofariki walikuwa na maisha mazuri sana kipindi sisi tupo wadogo ila walikosa hekima ya kutumia Mali zao badala yake wakaendekeza anasa.. Yaani Mimi hapa nilipo naogopa kweli ukimwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mwisho ndipo ulipokosea, ukimwi ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine na kama ulipangiwa ufe kwa sababu Fulani basi utakufa nayo tu, je wewe unafahamu utakufa kwa sababu zipi? Inawezekana hata wewe sikumoja utakuja kuoa na mkeo akakuletea ukiwa ndani ya ndoaNimepoteza kaka zangu wawili kwa ukimwi.. Hadi Leo huwa naogopa sana kuhusu huu ugonjwa.. Nakumbuka kaka yangu alivyofariki kwa huu ugonjwa mwaka 2010 nikiwa form four nililia sana. Acheni Jamani mambo ni hatari sana kuhusu huu ugonjwa.. Hapa ninapoandika Kuna kaka zangu tena wawili wanaishi na maambukizi ya ukimwi.. Tumebaki wawili tuu ambao tupo safe.. Kila nikiona habari za Ukimwi nasononeka nawakumbuka kaka zangu waliotangulia mbele za haki pia mawazo yananijia kuhusu Hawa kaka zangu wanaoishi na maambukizi ya ukimwi. Inauma sana yaani ndugu zangu acha kabisa omba yasikukute maana sisi tuliobaki ndo tumekuwa walezi wa watoto walioachwa.
Onyo.. Mungu akikujalia Hali nzuri ya maisha itumie vizuri kwa sifa na utukufu wake Usije ukamkufuru mungu. Mungu akikutelekeza utapata pigo la maisha.. Hawa ndugu zangu waliofariki walikuwa na maisha mazuri sana kipindi sisi tupo wadogo ila walikosa hekima ya kutumia Mali zao badala yake wakaendekeza anasa.. Yaani Mimi hapa nilipo naogopa kweli ukimwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umechagua fungu jema. Niliwahi kupata single mother flan mvaa hijab aisee kupima kawaka kitambo dushe lilisinyaa ghaflaMwezi huu nimepima, baada ya majibu siambiwi kitu. Cha ajabu wadada wakujigonga ndio wamekuwa wengi. Lakini my position is NO
Mashudu hayaLA muhimu ujumbe umefika. Mengine kajadilini ufipa ila 2020 Mbeya Mjini hamna chenu. Wameamua ku-Tulia.
Ufipa Dayaspora ndo mnaamka?Mashudu haya
Hilo linafahamika mkuu ila rai ni kwamba tuwe makini tuu maana wakati mwingine vijana tunajisahau na kujikuta tunapata ukimwi kizembe sana.Hapo mwisho ndipo ulipokosea, ukimwi ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine na kama ulipangiwa ufe kwa sababu Fulani basi utakufa nayo tu, je wewe unafahamu utakufa kwa sababu zipi? Inawezekana hata wewe sikumoja utakuja kuoa na mkeo akakuletea ukiwa ndani ya ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app