Kijana: Epuka UKIMWI ili usidharaulike

Ndiyo maana mimi nawauliza wanaume hivi huwa hujiulizi mara mbili tatu na kustuka unapoona mwanamke anajiletea mwenyewe kwako kirahisi?

Hushangai kwanini anavaa nguo za mitego?

Hushangai yeye anakupigia simu na kujutafuta kila wakati?

Hustuki tu?

Au ndiyo unachukulia kuwa unabahati ya kupendwa?

Yani kwamba wewe unangekewa au?

Tafakali


Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili sana wewe Mzee!!! yaani kuna lidada la kichaga liliniachaga kitambo tena kwa dharau bidae likaniletea Mweee!!! nikalitoa Baru mpaka leo hatusalimiani
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom