Kijana epuka ndoa na wanawake wenye kazi hizi

Mwalimu :
Wengi wenu mna dhana potofu kwamba ukioa mwalimu mpo in safe side. Hawa watu akili zao zimelala fofofo. Mtu anayeridhirika na ujira wa laki 3 kwa mwezi kwa kutoa sadaka siku zake 30 kwa mwezi ni wa kumuepuka. Hana changamoto mpya katika maisha. Akirudi kazini yuko exhausted kabisa, atapata wapi muda wa kuwaza vitu vipya huku bado hajasahihisha?? Unless atakua ni mtu unayemtumia kwa sex tu, ana madhara hata kwa akili ya watoto atakaowazaa yawezekana wakawa na akili mgando pia.

Askari :
Hawa watu siitaji kuwaelezea sana. Acha wachukuane wao kwa wao. Kama wewe ni raia wa kawaida ukitaka kuumia moyo kwa kupigiwa oa hawa watu. Mafunzo ya kijeshi kawaida yanaharibu saikolojia yao. Kauli mbiu ya huko mafunzoni kwao ni kwamba wanawake wapo jeshini kwa ajili ya kuburudisha mjeshi wa kiume na kumpa morali. Ko kiungo chake si mali yake. Achilia mbali kukuendesha. FUNGUA HAPA KUSOMA ZAID-----> Kijana Epuka Ndoa na Wanawake Wenye Kazi Hizi........ - SOCIAL NET +255

Huyo wa Kwanza Mwalimu nilishawahi kuwa nae ila sitasahau kuna siku moja nilimuudhi na alichokifanya siku hiyo ni kutaka ' Kunyofoa ' kabisa ' Kende / Pumbu ' zangu ila bahati nzuri mno ' mizimu ' yangu iliyotukuka ya ' Kizanaki ' na ' Kimakuwa ' ilinisaidia na akashindwa ila cha moto nilikiona na Kesho yake mwenyewe nikaomba safari yetu ya matumaini iishie hapo.

Majuzi kati hapa niliwahi kuanzisha Mahusiano ya Dada mmoja hivi ' Askari / Mjeda ' mmoja hivi ila nilichokigundua katika Mahusiano yetu hayo ni zaidi ya yale ambayo unaweza kuyakuta katika Kambi za Mabondia akina Karama Nyilawila na Francis Cheka kwani katika siku saba ( 7 ) za wiki mwili wangu ulikuwa ni ' punching bag ' kwa siku Nne au Tano za wiki ndipo haraka haraka nikaikumbuka ile Kauli wa ' Wahenga ' isemayo kuwa siku zote akufukuzae hakuambii toka.

Sasa hivi ' nadeti ' na Mama Lishe mmoja hivi ila kwa mbali ninavyoenda nae nahisi kuna siku nitageuzwa Nyama ya Wateja wake kwani amepata taarifa kutoka kwa akina ' Masinichi ' ila siyo kama ' Tundu ' kuwa ' nambandulia ' mmoja wa Watumishi wake hivyo sasa ananilia tu ' timing ' kusudi ' anitengeneze ' vizuri.

Sijui kwanini Wapenzi wangu wote ninaowapata ni ' majanga ' tupu!
 
hahahahaha
 
Hv wanaume kwnn tuna hii mentality!?. Inakuwaje unatafta mwmke wa kuoa mwenye potentialities za kiuchumi cjui kaz mawazo nk.
Hii kwng inamanisha ww umeshindwa kujitegemea kias kwamba unatafta msaidz atakaekusapoti ili ufike levo ya juu.

Ushauri .Jifunze kujitegemea kwa kuOa mwanamke yyte tu ilimradi na jinsi yake.Acha mawazo ya utegemez

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika bandiko wale waliosemwa negatively wameelezewa mapungufu katika namna mbili; mosi:Kuwa hawajatulia kwa maana ya kugongwa nje na pili kwa kuwa vichwa vyao havijatulia au kuwa sharp katika uchakalikaji wa kutafuta pesa; yawezekana kwa asilimia fulani ni sawa. Lakini mbona upande wa pili yaani wale self employed hajapewa sifa negative au sababu ndio upande pendwa? tunajuaje mtaji wa self employed aliwezeshwa au kuchangiwa na nani???Mbona inashuhudiwa baadhi (sio wote) wanaopewa mitaji kuwa self employed huwa wamepewa baada ya kutoa nanihii!!!Ni wangapi wanachepuka na ma business women tena wengine hata katika maeneo ya biashara zao??? Wangapi wanachepuka na women investors lakini katika bandiko halijazungumzwa...Story iwe fair
 
  • Kicheko
Reactions: KtN
Wewe unachuki tu wanawake watumishi sio bure inawezekana wameshakuvuruga sana

sent from toyota Allex
 
Back
Top Bottom