Kijana epuka ndoa na wanawake wenye kazi hizi

Aliekudanganya madaktari wanakurupushwa mda wote nantafiti za kubuni baki nazo mwenyew
 
How areall doctors, tellers, nurses etc fat chicks, ugly chicks?

Don't shorten your understanding buddy, " Ugly " may means more than you can define it, or did you want me to use words like "rotten mind", "senseless", "mindless", "obtuse" en so, i wouldn't be fair enough i think.
 
Don't shorten your understanding buddy, " Ugly " may means more than you can define it, or did you want me to use words like "rotten mind", "senseless", "mindless", "obtuse" en so, i wouldn't be fair enough i think.

You have not answered what I asked.

How are all doctors, tellers, nurses etc fat chicks, ugly chicks?

Your overindulgent stereotyping exposes a despicably vile and grotesquely wanton ignorance.
 
Inferiority complex ni kitu mbaya sana jomba. Unaogopa wasomi?
Sasa wewe na ndugu zako mnapolazwa mnategemea nini?
Jitu jinga huna cha kulisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app

Hhaha, sijawahi kuwa na Inferiority complex Mkuu, by the way sijataja hata elimu yangu kumbukumbu zangu hazinidanganyi.
Na nimeongelea kwa mtu who is economically oriented, mindset ya mtu uliyenae ni muhimu sana.
Karibu tena kwa doubt yeyote.
 
Na kwa taarifa yako hao uliowataja ndy wanaotafutwa kwa wingi mkuu,vijana walishavurugwa na maisha wanataka japo kuwe na uhakika wa laki hzo tajwa kwa mwezi,japo umenena ya kweli tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Kicheko
Reactions: KtN
Na kwa taarifa yako hao uliowataja ndy wanaotafutwa kwa wingi mkuu,vijana walishavurugwa na maisha wanataka japo kuwe na uhakika wa laki hzo tajwa kwa mwezi,japo umenena ya kweli tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app


Kunipinga ruksa mkuu, kasoro ukinitukana na mi naliamsha dude.
Logic yangu ni kwamba kama una ndoto za kufika mbali "economically" choose the right patner mwenye mindset kama yako
Kusoma sio kuwa na elimu ya kila kitu, financial intelligence kazi hizo nilizozitaja wengi hawana.
 
Mwalimu :
Wengi wenu mna dhana potofu kwamba ukioa mwalimu mpo in safe side. Hawa watu akili zao zimelala fofofo. Mtu anayeridhirika na ujira wa laki 3 kwa mwezi kwa kutoa sadaka siku zake 30 kwa mwezi ni wa kumuepuka. Hana changamoto mpya katika maisha. Akirudi kazini yuko exhausted kabisa, atapata wapi muda wa kuwaza vitu vipya huku bado hajasahihisha?? Unless atakua ni mtu unayemtumia kwa sex tu, ana madhara hata kwa akili ya watoto atakaowazaa yawezekana wakawa na akili mgando pia.

Askari :
Hawa watu siitaji kuwaelezea sana. Acha wachukuane wao kwa wao. Kama wewe ni raia wa kawaida ukitaka kuumia moyo kwa kupigiwa oa hawa watu. Mafunzo ya kijeshi kawaida yanaharibu saikolojia yao. Kauli mbiu ya huko mafunzoni kwao ni kwamba wanawake wapo jeshini kwa ajili ya kuburudisha mjeshi wa kiume na kumpa morali. Ko kiungo chake si mali yake. Achilia mbali kukuendesha. FUNGUA HAPA KUSOMA ZAID-----> Kijana Epuka Ndoa na Wanawake Wenye Kazi Hizi........ - SOCIAL NET +255
 
Back
Top Bottom