Kijana, don't settle with your agemate

Kiukweli Natafuta Ajira hii paragraph imeniumiza moyo maana ukweli umeuchana kama ulivyo
 
Kuna jamii na dini fulani mume akiona mke wake amezeeka, mila na desturi zao zinaruhusu mume kuoa mke mwingine binti mbichi, wanamuita kigori. Mke mzee anaridhia kupata msaidizi wa kumpa mzee joto. Mkee mzee anaona hana joto kubwa tena, ni kama anastaafu kufanya tendo la ndoa na kubaki mama wa kaya/boma tu, anaitwa bi mkubwa. Kibinti kinaingia mzigoni kikiwa na nguvu za kumpa mzee joto. Binti huwa hakatai na hachagui mume wa kumuoa na wala jamii yake haimcheki kuwa kaolewa na mzee wakati vijana wapo. Ni kawaida na si ajabu katika jamii hiyo mzee kuoa binti na maisha yanaendelea
 
Kupanga ni kuchagua
 
Rihanna ameachana na Chris B ila amekuja kuzaa na kijana mdogo ambae amemzidi miezi 7 na jamaa Asap anajua kupiga mashine ni anamtungisha mimba juu ya mimba
Wenzetu wapo very strictly kwenye suala la kuzaa. Kule kuzaa ni mipango sio kupiga mashine tu. Hao wakina criss brown, drake na maex wengine nao wana mababy mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…