Kijana, don't settle with your agemate

Useme Hela au uwezo wa kiuchumi hawana.
Vijana wa siku hizi ni vilio kila siku, kuhusu wanawake, sishangai ushoga kushamiri kisa ni hili hili la uoga.
Sasa kijana kutokua na hela hilo ni jambo la kushangaza? Umasikini ni starting point ya kila mtu. Ukisema wazee wa siku hizi hawana hela ndio italeta maana, kwa sababu tutahoji ujana wake aliutimia kufanya nini.
 
Kuna binti mmoja wa elfu mbili nimemzidi miaka mingi sana, mi ni mkubwa sana kwake, natamani kumuoa ila nahofia atanidodea mapema ukichukulia yeye ni bonge. Huo ubongebonge wake unatia hofu kuwa atazeeka mapema at 30.
Ukimtia mimba atanenepa zaidi, mpigishe zoezi, kama anakupenda atabadilika tu.
 
Nina mwanamke we share the same age and we're good
 
Umaarufu na pesa ASAP rock yupo chini ya levels za rihana. Wanawake wana nature ya hypergamy. Rihana settled for ASAP rock because dating market stopped rewarding her choices.
No more choices no more and time was moving very fast, baada ya fashion killer tu mengine yakafuatia boom mimba ya kwanza boom mimba tena ya pili boom mimba tena ya tatu, I like this ni payment day, tunasubiri mimba nyingine mwaka huu ni mwendo wa mimba tu, halafu wanawake wengi km hujui nakujulisha ni wanajua kuwalipa wasiowadai hii iundie topic yaan wewe atakupuna vizuri sana na ufala ufala wako anakuchora tu halafu anamtafuta mchovu mchovu mmoja tu hivi fala fala zaidi yako aliejichokea muhuni muhuni tu fulani hivi anaanza kumlipa wakati wewe ulikua unampa yeye anagawa ulizokua unampa. Wahuni walioingia kichwa kichwa kwa huyo manzi wamepigwa hela mbaya halafu manzi kaenda kumpa ASAP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…