Kijana CCM?

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,469
How inawezekanaje
 

Attachments

  • 1438352993140.jpg
    67.9 KB · Views: 1,284
Mtoa mada huna akili,kwani kijana kuwa ccm ni dhambi? Kwa taarifa yako kuna vijana wengi tu wapo ccm ndo maana uvccm ipo imara kama igneous rock.
 
Mtoa mada huna akili,kwani kijana kuwa ccm ni dhambi? Kwa taarifa yako kuna vijana wengi tu wapo ccm ndo maana uvccm ipo imara kama igneous rock.

CDM hakuna wazee hata m1.
Slaa ni kijana wa miaka 35 anaelekea 36,mtei sa hv nadhani ndo miaka kama 40 hv na yule jamaa wa monduli yeye anamiaka 33.
 
CDM hakuna wazee hata m1.
Slaa ni kijana wa miaka 35 anaelekea 36,mtei sa hv nadhani ndo miaka kama 40 hv na yule jamaa wa monduli yeye anamiaka 33.

Kwi!kwi!kwi!,Km ni hivyo basi Katiba itamzuia Mamvi kugombea Uraisi.
 
Kwani hamuoni mi nimeitoa hii mada istagram, mi nashangaa kama nyie tuu, ula mmh hao wazee sawa ila vijana wanapaswa kuwa kwenye upande Wa mabadiliko,
Yaani katika maendeleo lazima pawe na friction , conflicts, au sijui nisemeje, sasa yapasa tuunge mkono njia mpya ya kuipa ccm changamoto ili kama kuna ilipojisahau ishtuke
Kweli jamani ccm Luna sehemu kudogo inataka kushtuliwa, please msinielewe vibaya nielewesheni tu ili kama Mimi nimepotoka kupenda ukawa nirudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…