Kijana awasulubu wazazi wake kwa kumnunulia kanyumba kadogo!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
20,488
2,000
Umleavyo ndivyo wakuavyo, usikute wazazi wake wanaishi kwenye hekalu zaidi ya ikulu, halafu mtoto kanunuliwa kaghorofa kule manzese kwa mfuga kunguru
 

havanna

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
1,592
2,000
Kuna makuzi mabaya sana wazazi huwa wanawafunda watoto, MF Leo mahakamani kuna jamaa ameshtakiwa na mzazi wake kwa kosa LA kumpiga kisa anataka urithi wa nyumba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom