Kijana anayeendelea kushabikia upinzani Tanzania apaswa kupimwa uelewa wake!!

Ndo wapiga kura lakini kwahiyo nyie mnaojiita wasomi but with z... IQ kura zenu hazihitajiki kumuweka JPM for 2nd Term
Nani alikwambia CHama chenu kinachaguliwa kwa kura? Nyie mnaingia Madarakani kwa Mgongo wa NEC na Policcm tu,mkiondoa hivyo vyombo kuwapa "BACKUP" nakwambia asubuhi kabisa misa ya kwanza kabla Padre hajasema Neendeeniii kwaaa Amaaaaani Upinzani ushachukua nchi.
 
Yaani huwezi kutenganisha upinzani na vijana hasa kwa Tanzania ya sasa, Vijana tunauchungu na Hasira na ccm imetesa wazee wetu, kaka zetu, shangazi zetu wanatishiwa kupigwa na Mwenyekiti wenu. ww ukitakaa kuona upinzani na vijana ni Damu damu nenda vyuo vikuu weka mgombea mwenye vijiitikadi vya kiccm hahaaa asee km sio kura moja ni sifuri.
 
Habari za asubuhi!

Mwaka 2015 ilikuwa ni rahisi kuwavumilia vijana waliopumbazwa na kelele za mabadiliko feki.Mwaka huo kulikuwa na chembe chembe za watanzania kuyataka mabadiliko haswa yaani baada ya kuaminishwa kuwa CCM ni makazi ya mafisadi na matajiri wenye uweza wa kifedha kudictate hatima ya nchi ingawa CCM kwa ustadi mkubwa iliwaonesha kuwa hakuna mwenye nguvu ndani ya ccm zaidi ya wanachama watiifu na waadilifu..CCM DID IT TACTICALLY AND SURGICALLY ...IKAKATA BILA HURUMA AU UOGA !!

CCM IKAJIBADILISHA NA KUENDANA NA WAKATI.

BAADA YA HAPO IKAABSORB MTIKISIKO MKUBWA NA KUJIPANGA VILIVYO ...CCM IKAONDOKA KWENYE UNYONGE WAKE NA KUWA OFFENSIVE CHINI YA MTENDAJI ASIYE NA UTANI HIS EXCELLENCE JOHN POMBE MAGUFULI THE CHAIRMAN!

2016 HADI SASA CCM IKAWARUDISHA WENYE NIA YA DHATI YA MAENDELEO NA KUWAUMBUA WATAKA MABADILIKO YA SHAKARABAGHARA.

LEO HII TUNAZIDI KUJIONEA UROHO WA MADARAKA ,UBINAFSI NA UDIKTETA USIO NA AIBU WA VIONGOZI WA UPINZANI.

VIJANA WALIOKULIA KWENYE MFUMO WA VYAMA VINGI WAMEJIONEA NI NANI MWENYE ITIKADI THABITI YA KUIKOMBOA TANZANIA ...CCM CHAMA LA WANA NA CHAMA KONGWE NA DUME LENYE UWEZA WA YOTE...LENYE UWEZA WA KUACCOMODATE WATUTUKUTU NA WASTAARABU WA AINA ZOTE LAKINI WAKAAMRISHWA KUFUATA MSINGI WA DEMOKRASIA,HAKI,UADILIFU NA AMANI.

SIONI KIJANA YOYOTE MWENYE UELEWA AKIENDELEA KUUAMINI UPINZANI BOSHENI .

VIVA JPM VIVA KIKWETE VIVA MKAPA VIVA MWINYI

CCM OYEE.

POVU RUHUSA .

CIAO
Ulijua upumbavu wako ulioumwaga hapa ndiyo maana umeruhusu povu.
Ulichobandika kinaendana na Id yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujui watu wanawachora tu, hamna jipya lolote.. jipeni matumaini.. comments za hapa tu zinatosha kukupa pcha
 
Hakuna povu mkuu, toeni pesa tu mtununue Kama ilivyo kawaida yenu tutakuja haraka sana na kuungana nanyi CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashangaa hawa wazee wenye miaka 70 na bado wanapigana vikumbo kwenye viti hivyo.
Hivi ujana wao hawakujiwekea hata za Raining day?
Wangekuwa wamepumzika kwenye sehemu za kuabudu tu na kusubiri mda wao
Waachieni vijana nyie mkacheze na wajukuu basi laaa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kwa haraka haraka tu
Nivijana wangapi toka 2015-2019 wamepata ajira,wameongezwa mishahara,wamepanda madaraja tuanzie hapo kwanza
 
Hakuna povu mkuu, toeni pesa tu mtununue Kama ilivyo kawaida yenu tutakuja haraka sana na kuungana nanyi CCM
Kwasasa imeibuka kazi mpya ya kwenda kuokoa Mapinduzi Zenji hatuna pesa ya kununua vijana nikwenda kuokoa ACT isichukue Zenji Mabeberu wanajipanga kuja kusimamia uchaguzi huru hapo patamu Zito mtaalamu wa siasa za kimataifa
 
Sawa haya Ni maoni yangu but seriously, najutia mm na familia kumpa huyu jamaa kura yangu kwa kigezo Cha kuishi nae mtaa mmoja.

Kwenye kundi letu la wasap la kifamilia tumo 250+ mwaka 2015 waliopigia kura ukawa hawakuzidi hata 10, tulimsapoti kijana wa nyumbani abebe kiti, ila kwa Sasa ukitaja Jina la magufuli kwenye hili kundi utatukanwa matusi yote unayoyajua ..pamoja na kwamba tunatoka nae mtaa mmoja Geita but tumekuja kugundua hatukustahili kumpa kura kwa kigezo hicho
Wewe unatoka mtaa mmoja naye, kuna anaotoka nao tumbo moja hawataki hata kumsikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za asubuhi!

Mwaka 2015 ilikuwa ni rahisi kuwavumilia vijana waliopumbazwa na kelele za mabadiliko feki.Mwaka huo kulikuwa na chembe chembe za watanzania kuyataka mabadiliko haswa yaani baada ya kuaminishwa kuwa CCM ni makazi ya mafisadi na matajiri wenye uweza wa kifedha kudictate hatima ya nchi ingawa CCM kwa ustadi mkubwa iliwaonesha kuwa hakuna mwenye nguvu ndani ya ccm zaidi ya wanachama watiifu na waadilifu..CCM DID IT TACTICALLY AND SURGICALLY ...IKAKATA BILA HURUMA AU UOGA !!

CCM IKAJIBADILISHA NA KUENDANA NA WAKATI.

BAADA YA HAPO IKAABSORB MTIKISIKO MKUBWA NA KUJIPANGA VILIVYO ...CCM IKAONDOKA KWENYE UNYONGE WAKE NA KUWA OFFENSIVE CHINI YA MTENDAJI ASIYE NA UTANI HIS EXCELLENCE JOHN POMBE MAGUFULI THE CHAIRMAN!

2016 HADI SASA CCM IKAWARUDISHA WENYE NIA YA DHATI YA MAENDELEO NA KUWAUMBUA WATAKA MABADILIKO YA SHAKARABAGHARA.

LEO HII TUNAZIDI KUJIONEA UROHO WA MADARAKA ,UBINAFSI NA UDIKTETA USIO NA AIBU WA VIONGOZI WA UPINZANI.

VIJANA WALIOKULIA KWENYE MFUMO WA VYAMA VINGI WAMEJIONEA NI NANI MWENYE ITIKADI THABITI YA KUIKOMBOA TANZANIA ...CCM CHAMA LA WANA NA CHAMA KONGWE NA DUME LENYE UWEZA WA YOTE...LENYE UWEZA WA KUACCOMODATE WATUTUKUTU NA WASTAARABU WA AINA ZOTE LAKINI WAKAAMRISHWA KUFUATA MSINGI WA DEMOKRASIA,HAKI,UADILIFU NA AMANI.

SIONI KIJANA YOYOTE MWENYE UELEWA AKIENDELEA KUUAMINI UPINZANI BOSHENI .

VIVA JPM VIVA KIKWETE VIVA MKAPA VIVA MWINYI

CCM OYEE.

POVU RUHUSA .

CIAO
Jina husadifu yaliyomo kweli hili ni jinga lao yaan yeye ni mjinga kupita wote pale lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma Tafiti za wadau mkuu,CCM inapendwa na Vilaza,Watu wasio na elimu,masikini,wachumia tumbo,wazee,wanaoishi vijijini interior etc
Bahati mbaya ndo walio wengi. Ukijaribu kuwaelewesha wanasema wanaogopa vita kama vya Rwanda. Wanasiasa wanatumia hicho kigezo kuwatishia wazee na wale vilaza.
 
Upinzani auna agenda zaidi ya kutaka kuona CCM inawaachia madaraka, and then what?

Iraq walitaka Saddam atoke leo awajielewi
Libya kuna watu walitaka Ghaddafi atoke leo akupitiki
Zimbabwe walitaka Mugabe atoke hali ndio imezidi kuwa mbaya

Upinzani hawana agenda na inadhihirisha viongozi wao wapo more concerned na madaraka kuliko kutatua changamoto za wananchiKw

Zimwi likujualo alikuli likakwisha

Bora CCM kuliko upinzani ambao aujitambui
Kwanini utoe mifano ya nchi ambazo zilitumia nguvu kuwaondoa marais? Tunataka kwenye box. Je, Zambia, Malawi, Ghana, Liberia na nchi mbali mbali ambazo zimetumia sanduku la kura zina tatizo????? Do not compare election and overthrowing the government.
 
Mamakoooo......

upinzani ni kitu kinachojengeka damuni..

whenever there are two beings there are two antagonist characters..

ni upumbavu uso kikomo ati kufikiri mnaweza badili asili hiyo.. Hata mkiuwa vyama vyote. Tutasubiri kingine. Pumbavu.
 
Back
Top Bottom