monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,243
- 11,421
Unawapa ushauri hao vijana wa Tz ambao wana degree za mzumbe na udsm wakalime,wanakuona kichaa wenzako wanawaza wakafanye kazi TRA,Bot ectKijana amua leo na ukate shauri ingia pori, jichukulie kaeneo kako anza kulima mdogo mdogo. Kuna raha sana ukiwa mkulima alafu msomi.
Usiogope changamoto huwa zipo tu hata maofisini. Uchawi uliopo maofisini hata huku kwenye kilimo upo mzee. Kupanda, kuotesha, kuvuna mpaka kuuza ni uchawi tu kama vile watu maofisini kuomba kazi analoga, interview analoga, akipata kazi analoga, mishahara ya wengine inalogwa ilimradi aone wenzie hawafanikiwi. Wewe njoo na tumaini lako kwa Mungu mbona utatoboa mzee baba.
Hakuna raha hapa duniani kama kuwa mkulima msomi utaishi upendavyo mzee baba.
Njooni tulime mapori hapa bongo ni mengi sana na hayana mwenyewe. Yana rutuba hatari.
NB
Huku porini utapata wanyama wa ziada kama digi digi na nguruwe pori kuna vya kufaidi vijana.
Karibu.
Nimeingia shambani mwenyewe
Hii wiki nzima nafyeka vichaka na nyasi ndefu kwa ajili ya kuwa tayari kulima kwa trekta!
Hadi sasa tumemaliza hekari zaidi ya Mbili na Nusu.
Nipo na wadogo zangu wawili.
tunaamkia shambani kufyeka saa 12 Asubuhi hadi saa 3 Asubuhi
Then tunarudi kupumzika na kupata chochote then tunarudi saa 10 Jioni hadi 12 Jioni.
Wote mikono ilipata shida sana coz ni zoezi gumu sana, hivyo hata kula ikawa kila mikono ikigusa tu maji basi maumivu ni makali mno ila hadi Leo imezoea na kupona!
Eneo ni kubwa sana na lina chanzo cha maji.
Ni mara yetu ya kwanza kujaribu kilimo but tulikubaliana kuwa tutawapa watu kazi ya kulima but hii ya kufyeka vichaka, misitu inabidi tuifanye wenyewe kwa mikono yetu ili kuona thamani ya kile tunachokifanya kwa nguvu zetu, Jasho letu na kwa mikono yetu!
Mungu atubariki ktk hili na awabariki wote mnaofikiria kuingia ktk zoezi Kama hili kwa nguvu zenu, mikono yenu na jasho lenu pia!
Kiukweli hili letu litakuwa pia shamba darasa coz Elimu wote tunayo but ni shauku yetu ktk hili!
Mungu awabariki na msiache kutuombea Kama sisi nasi tuwaombeavyo!View attachment 1366115
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mungu mwema, nikipita pande za Tarime nitakutafuta still nina namba yako.Haahah siku yangu imekuwa nzuri mno
umeigusa amini nakwambia
Haaha TAEA
duh JF kweli ni sehemu ya kipekee sana
inakutanisha watu!
nimefurahi mno kukutana hapa JF baada ya TAEA
huwa nawakumbuka sana members
but siku Moja tutaonana!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Chief naomba uni-brief hiyo namba tatu bado sijaielewa1)Ufugaji
2)kilimo
3)Online startup
4)Forex
Biashara ambazo inabidi uhakikishe kwasiku unaingiza at least 50K ndio uzianze mbali na hapo una 80% yakuja kulaumu watu zinafaida kubawa ila ya uvumilivu na changamoto.
Portfolio | 2020
In Tanzania example Jamiiforums, Nala, SomaApp, Tala nk.Chief naomba uni-brief hiyo namba tatu bado sijaielewa
Hii sasa mkuu si mpaka uwe well organized...tofauti ni vimitaji vyetu vya laki laki...auIn Tanzania example Jamiiforums, Nala, SomaApp, Tala nk.
Portfolio | 2020
Kwani nilochoandika juu nini mpaka ukauliza kimojawapo.Hii sasa mkuu si mpaka uwe well organized...tofauti ni vimitaji vyetu vya laki laki...au
wakuu habarini za usiku huu?
baada ya kufyeka lile likichaka lote la zaidi ya Ekari 2.
Hatimae sasa,
Jumatatu ijayo nitapanda shambani nyanya katika Eneo la zaidi ya Ekari 1
miche 5200
Mbegu aina ya Imara F1
50gm
ambazo niliotesha katika vitalu 6.
Eneo lilobaki naweka vitunguu
ambavyo nilinunua mbegu aina 3
Neptune F1 500gm
Meru supe 250gm
Red coach 500gm
wakuu
Naomba mwenye uzoefu na hizo mbegu hapo Juu
tafadhali naomba japo idea!
Sent from my iPhone using JamiiForums