Kijana amua leo usingoje kesho

Kijana amua leo usingoje kesho

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,340
Reaction score
1,493
Kijana amua leo na ukate shauri ingia pori, jichukulie kaeneo kako anza kulima mdogo mdogo. Kuna raha sana ukiwa mkulima alafu msomi.

Usiogope changamoto huwa zipo tu hata maofisini. Uchawi uliopo maofisini hata huku kwenye kilimo upo mzee. Kupanda, kuotesha, kuvuna mpaka kuuza ni uchawi tu kama vile watu maofisini kuomba kazi analoga, interview analoga, akipata kazi analoga, mishahara ya wengine inalogwa ilimradi aone wenzie hawafanikiwi. Wewe njoo na tumaini lako kwa Mungu mbona utatoboa mzee baba.

Hakuna raha hapa duniani kama kuwa mkulima msomi utaishi upendavyo mzee baba.

Njooni tulime mapori hapa bongo ni mengi sana na hayana mwenyewe. Yana rutuba hatari.

NB

Huku porini utapata wanyama wa ziada kama digi digi na nguruwe pori kuna vya kufaidi vijana.

Karibu.
 
Usisahau na kufuga kuku

Sent using Jamii Forums mobile app
Inspiration speaker ukiwaambia ufugaji wa kuku wanachekelea maana wamepiga watu hela ndefu kuwauzia madawa feki na tozo la kiingilio. Kiukweli ufugaji wa kuku haulipi kirahisi kama watu wanavyoaminishwa. Gharama za ujenzi wa mabanda, chakula na madawa na baadaye kupata soko la kurudisha hela yako ni sifuri utaishia kuchaganyikiwa na kupoteza mtaji. Hiii inatokana uzoefu wangu!
 
1)Ufugaji
2)kilimo
3)Online startup
4)Forex

Biashara ambazo inabidi uhakikishe kwasiku unaingiza at least 50K ndio uzianze mbali na hapo una 80% yakuja kulaumu watu zinafaida kubawa ila ya uvumilivu na changamoto.

Portfolio | 2020
 
You have something in your brain bro & i real appreciate you #peaceout
 
Inspiration speaker ukiwaambia ufugaji wa kuku wanachekelea maana wamepiga watu hela ndefu kuwauzia madawa feki na tozo la kiingilio. Kiukweli ufugaji wa kuku haulipi kirahisi kama watu wanavyoaminishwa. Gharama za ujenzi wa mabanda, chakula na madawa na baadaye kupata soko la kurudisha hela yako ni sifuri utaishia kuchaganyikiwa na kupoteza mtaji. Hiii inatokana uzoefu wangu!
Hakuna kazi isiyo na changamoto cha msingi ni namna ya kutatua changamoto
Na utatuzi wa changamoto unategemea na eneo ulilopo

Tusikate tamaa tupambane hakuna mafanikio yanayokuja bila kutoa jasho

Unachokiamini ndicho kifanyie kazi
Komaa nacho usikate tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1)Ufugaji
2)kilimo
3)Online startup
4)Forex

Biashara ambazo inabidi uhakikishe kwasiku unaingiza at least 50K ndio uzianze mbali na hapo una 80% yakuja kulaumu watu zinafaida kubawa ila ya uvumilivu na changamoto.

Portfolio | 2020
Hasa hapo namba 4 kuna tatizo kubwa kwa wengi
 
Kijana amua leo na ukate shauri ingia pori, jichukulie kaeneo kako anza kulima mdogo mdogo. Kuna raha sana ukiwa mkulima alafu msomi.

Usiogope changamoto huwa zipo tu hata maofisini. Uchawi uliopo maofisini hata huku kwenye kilimo upo mzee. Kupanda, kuotesha, kuvuna mpaka kuuza ni uchawi tu kama vile watu maofisini kuomba kazi analoga, interview analoga, akipata kazi analoga, mishahara ya wengine inalogwa ilimradi aone wenzie hawafanikiwi. Wewe njoo na tumaini lako kwa Mungu mbona utatoboa mzee baba.

Hakuna raha hapa duniani kama kuwa mkulima msomi utaishi upendavyo mzee baba.

Njooni tulime mapori hapa bongo ni mengi sana na hayana mwenyewe. Yana rutuba hatari.

NB

Huku porini utapata wanyama wa ziada kama digi digi na nguruwe pori kuna vya kufaidi vijana.

Karibu.

Umeongea jambo zuri sana!!! Ofisini kuna watu wana roho mbaya sana!! Wanacheka na wewe ila kilasiku wana taka usifanikiwe kwa chochote!!! Ikitokea fursa hawataki upate kabisa!!! *****!! Hata huko mashambani haya mambo yapo ila sio kivile kama ofisini!!! Shambani kuna lipa ila inabidi kujipanga pia hutakiwi kukata tamaa mapema!! Tupambane kila kona!! Ofisini mpaka mashambani kitaeleweka tu!!!!
 
Nimeingia shambani mwenyewe
Hii wiki nzima nafyeka vichaka na nyasi ndefu kwa ajili ya kuwa tayari kulima kwa trekta!

Hadi sasa tumemaliza hekari zaidi ya Mbili na Nusu.
Nipo na wadogo zangu wawili.

tunaamkia shambani kufyeka saa 12 Asubuhi hadi saa 3 Asubuhi
Then tunarudi kupumzika na kupata chochote then tunarudi saa 10 Jioni hadi 12 Jioni.

Wote mikono ilipata shida sana coz ni zoezi gumu sana, hivyo hata kula ikawa kila mikono ikigusa tu maji basi maumivu ni makali mno ila hadi Leo imezoea na kupona!

Eneo ni kubwa sana na lina chanzo cha maji.
Ni mara yetu ya kwanza kujaribu kilimo but tulikubaliana kuwa tutawapa watu kazi ya kulima but hii ya kufyeka vichaka, misitu inabidi tuifanye wenyewe kwa mikono yetu ili kuona thamani ya kile tunachokifanya kwa nguvu zetu, Jasho letu na kwa mikono yetu!
Mungu atubariki ktk hili na awabariki wote mnaofikiria kuingia ktk zoezi Kama hili kwa nguvu zenu, mikono yenu na jasho lenu pia!

Kiukweli hili letu litakuwa pia shamba darasa coz Elimu wote tunayo but ni shauku yetu ktk hili!

Mungu awabariki na msiache kutuombea Kama sisi nasi tuwaombeavyo!View attachment 1366115

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hongera sana, kila mtu atakula kwa jasho lake...
 
MUNGU awe pamoja nanyi

Yaaa mada iko pow sana hata mim na ngangana na kulima japokuw sio mzoefu ..

Changamoto kubwa n kwenye mikono aseee kuna kuwa na manundu mikononi yana uma alaf kunakuwa na majimaji ndan yake hapo tuu ndo kina nichosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimo kinapendeza ukilima kisasa ,ukilima Kama Babu yako alivuofanya utaiahia ukuwa maaaskini
 
Motivesheno spika mpka sasa una mashamba mangapi?

Mtu ambaye Hana kazi ,aanze kulima mpaka avune ndo aje ale?
 
Kijana amua leo na ukate shauri ingia pori, jichukulie kaeneo kako anza kulima mdogo mdogo. Kuna raha sana ukiwa mkulima alafu msomi.

Usiogope changamoto huwa zipo tu hata maofisini. Uchawi uliopo maofisini hata huku kwenye kilimo upo mzee. Kupanda, kuotesha, kuvuna mpaka kuuza ni uchawi tu kama vile watu maofisini kuomba kazi analoga, interview analoga, akipata kazi analoga, mishahara ya wengine inalogwa ilimradi aone wenzie hawafanikiwi. Wewe njoo na tumaini lako kwa Mungu mbona utatoboa mzee baba.

Hakuna raha hapa duniani kama kuwa mkulima msomi utaishi upendavyo mzee baba.

Njooni tulime mapori hapa bongo ni mengi sana na hayana mwenyewe. Yana rutuba hatari.

NB

Huku porini utapata wanyama wa ziada kama digi digi na nguruwe pori kuna vya kufaidi vijana.

Karibu.
Vipi hilo shamba ukilima huna viwatilifu au pembejeo vinakuja automatic
 
Inspiration speaker ukiwaambia ufugaji wa kuku wanachekelea maana wamepiga watu hela ndefu kuwauzia madawa feki na tozo la kiingilio. Kiukweli ufugaji wa kuku haulipi kirahisi kama watu wanavyoaminishwa. Gharama za ujenzi wa mabanda, chakula na madawa na baadaye kupata soko la kurudisha hela yako ni sifuri utaishia kuchaganyikiwa na kupoteza mtaji. Hiii inatokana uzoefu wangu!
True, hata mimi nafuga, mwezi wa nane nilikuwa na kuku 200 mvua zilivyozidi sababu ya baridi kuku walikufa 120.nkabakiwa na kuku 80😭😭
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom